Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Umesahau walivyofurahia ya Lissu?
Huku tulipofikia kubaya kufurahia ugonjwa au mabaya ya wengine sio kitu kizuri.Kama kweli anaumwa Mungu amrehemu na kumponya.Bado tunamuhitaji sana tu.