Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Mr Slim piga tukio tena sema hotel Rwanda, kafa na Covid mahabusu, uone tutakavyokuwazia 😂 😂 😂 !

Everyday is Saturday................................😎
Ha haha, JF itapata shida na Serikali mkuu... Tunamsumbua Melo.
 
Magufuli akifa sijui Kama tutapata rais Kama huyu.jasiri mwenye msimamo
Ila tatizo lake moja tu kuondoa watumish hewa halafu kushindwa kuweka vijana wasomi kwenye hizo nafasi..halafu msomi mzima unayemwamini MUNGU unaenda kwa babu wa loliondo kupata kikombe?????

Sent using Jamii Forums mobile app
umeshataja matatizo yake...katika marais wabovu kuwahi kutokea ni huyu magufuli.aende tu afe tu kwani yeye ameua wangapi
 
View attachment 1722460

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemjibu Mwanasheria mkuu wa CHADEMA ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Tundu Lissu na kumuonya vikali kwa kitendo cha kuulizia alipo Rais Magufuli na kama yupo salama kupitia mitandao ya kijamii. Dkt. Mwigulu amenukuu vifungu vya sheria vilivyovunjwa na Mh. Tundu Lissu na kusisitiza kuwa sheria inapovunjwa hakuna mipaka wala muda kupita. Aidha Dkt. Mwigulu amewaonya waropokaji wote kuzingatia sheria na kwamba serikali ipo kazini.

Dkt. Mwigulu alisema hayo kupitia mtandao wa instagram ambapo ameandika "Kiongozi wa Nchi sio Parishworker Kanisani wala sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuonekana!, Kiongozi wa Nchi Sio Mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi Ila hakuonekana! Kiongozi wa Nchi sio kiongozi wa jogging clubs kwamba anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku na kurusha selfie. TUACHE UPUUZI UPUUZI HATA KAMA HATUNA JAMBO LA KUFANYA.

Umeichafua sana nchi umeshindwa, mmetamani tukwame mmeshindwa,Sasa mnaombea mabaya nchi yetu na Kiongozi wa Nchi yetu. SHERIA YEYOTE INAPOVUNJWA, HAKUNA CHA MIPAKA, WALA HAKUNA CHA MUDA KUPITA. KWA WANAOROPOKA ZINGATIENI KIFUNGU CHA 89 cha Penal code na 16 cha Cyber Crime, SERIKALI IPO KAZINI"

Hata hivyo Mh. Tundu Lissu ameonekana kukaidi onyo hilo na kuendelea kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa na mamlaka husika kupitia mtandao wa Twitter.
mwigulu ndo pumbafuu kabisa.mtanzania kuulizia hali ya rais wake anayejenga fly overs na kununua ndege 10 ni kosa???
 
Hakuna newz yeyote kutoka abroad🤔🤔🤔

Inasikitisha sana.😁😁😁😁😁😷😷😷😷😷😷
 
umeshataja matatizo yake...katika marais wabovu kuwahi kutokea ni huyu magufuli.aende tu afe tu kwani yeye ameua wangapi
Asee we fundi nondo yaelekea tukikufanyia sub uchukue nafasi ya Ziraili, utafanya usafi wa kibabe kwa wenye mamlaka zao....
 
Ndugu zangu watanzania, kama ni kweli Rais yuko Hospitali Nairobi, cha kufanya watanzania ni kumuombea. Yeye ni rais wa nchi yetu, tupende au tusipende. Tumpende au tusimpende.

Kama wewe una habari za tetesi kuwa anaumwa, basi busara ni kumuombea kimyakimya, sasa kama tukianza kuingia kwenye mtego wa wenzetu wanaotumiwa kuanza kumuombea mabaya rais wetu hii sio busara kabisa.
tulivyotaka kumuombea lissu alituma polisi waje kuzuia.huyu ni wa kufa tu ameshaua wengi
 
Gazeti bora la fahari yetu chini ya ma comrade habib mchange na comrade Musiba limereport vifo vya John mrema na Freeman mbowe mmoja akiwa south africa mwingine dubai kutokana na chanjo ya corona..hakika ni habari ya kusikitisha sana kwa wapenda demokrasia...pongezi pia kwa waandishi wa gazeti hilo kwa kutuhabarisha na kutupatia wancnhi haki yetu ya kupata habari kuhusu viongozi wetu
fahari.png
 
Kahama ni elf5 kwa wasukuma. Ila mi ntamchinja nguruwe wangu tumfanye kitoweo.

Ninayo mafungu kadhaa ya konyagi kuubwa ile yenye picha ya mwanamke. Faru fausta sio faru jon tena.
Tutajitenga kabisa ili kuepuka covid au nasema uongo ndugu yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
kaua watu wengi na yeye aende tu lema alisema rais atafia madarakani muda ndo huu
 
Madiwani wa Chadema Ikungi walikusanyika kufanya kikao jinsi ya kukusanya michango, ili kuchangia matibabu ya Tundu Lissu, watu wale walikamatwa. Kuvaa fulana za jina la "Tundu Lissu" ikawa kosa la jinai. Leo mnasema watu wasifurahie maumivu ya wengine? You people, are you MAD?
 
Kama inavyosemekana kuwa anaumwa na kapelekwa hospital Nairobi na kwa sasa kahamishiwa india inawezekana kabisa pale hospital ya muhimbili yeye binafsi haamini wale madoctory wa pale.

Kitendo cha kuwaambia viongozi/watumishi wa umma wengine kuwa wakiumwa watatibiwa hospitali za hapa hapa nchini na hata mkewe alipoumwa alitibiwa muhimbili kwa kuonyesha alimaanisha na hata baadhi ya viongozi wengine walitibiwa hapa hapa nchini hospitali tofauti lakini yeye tuu kakimbilia nairobi je!kwani hospital zetu zina nini hadi akaenda nje?

Sisi kama wananchi wa kawaida kitendo cha kutuaminisha kuwa hospital zetu ziko vizuri alafu yeye anakimbilia nje bado anatupa wasiwasi mkubwa sana na hospita zetu au madoctory wetu.
Ugua pole mh.wetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu ambaye ameshagombea Urais wa Nchi kama Tundu Lissu ungetegemea awe na utulivu wa akili kwa kiasi kikubwa sana!...
Mh Lissu hajawa na hatakuwa Msemaji wa Rais Magufuli. Yeye anatumia nafasi yake kama Raia wa kawaida kabisa wa Tanz kuweka wazi yale yanayofichwa na Wenye Mamlaka.

Kulingana na mazingira ya hapa kwetu ni vigumu Msemaji wa wenye Mamlaka kusema lolote juu ya afya ya Rais au mahali alipo kutokana na HOFU waliokwishajengewa.

Mh Lissu yupo kwenye mazingira tofauti na ndiyo maana Waziri wa Sheria na Katiba ameishia kumtuhumu na kumtisha Mh Lissu badala ya kuweka wazi alipo Rais pamoja na afya yake kwa ujumla.

Rais ni kama Baba kwenye nyumba. Anapokuwa haonekani au kuchelewa kurudi nyumbani basi mtoto hana haki ya kuuliza nini kilichomsibu Baba?

Kwa maana hiyo basi kwakuwa Mh Lissu alishapata habari alipo Baba yetu kwanini asitueleze japokuwa ndugu zetu wengine hawataki tufahamu lolote?

Hata wewe nina uhakika kama siyo miongoni mwa wanaoficha taarifa kwa HOFU ya kutumbuliwa basi nawe utakuwa umejifunza jambo kutoka kwa Mh Lissu ktk utoaji habari kulingana na mazingira ya huko aliko.
 
Hili gazeti lingemilikiwa na mpizani,leo hii ungekua mwisho wao
Nchi ina sheria mbili lakini watu wnalazimishwa kuwa wazalendo,maajabu sana..hata raia wameamua kununua magazeti ya michezo tu wabishane kuhusu simba na yanga siku ziende washapuuza matakataka hayo..na siyo mwisho wao tu wangekuwa mahakamani mda mrefu sana ila nimependa style ya mbowe siku hizi kunyamaza kimya na kupuuza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom