Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Sio lazima. Mwanzo alizushiwa kifo na hakuwahi kutokeza mtu yeyote kukanusha. Kwahiyo wacha wajinga waendelee kutiana ujinga.
nadhani licha kuwa ni ishara mbaya.. au sio tabia nzuri kundi fulani kumzushia kiongoz wa nchi kifo.
kuna haja ya viongozi hawa kuhitafakari, why hate against them imeongezeka?
haswa kipindi hiki?
 
Nzige nao wanaendelea kuchanja mbuga wengine wanaenda kuwa kitoweo cha Wagogo huko kanda ya Kati na kundi jingine linaelekea mkoa wa Tanga
 
Lakini si angeenda Chato kumwomba mungu wenu kama alivyozoea, huko Nairobi wana Mungu wao ambaye badala ya kuondoa Covid-19 akampenda zaidi yeye na Waziri wake. Wananchi wanapolia kuwa hospitali zetu hazina madaya, vifaa wala watumishi wakutosha Viongozi wetu ndo wanakuwa wa kwanza kusifia kuwa dunia nzima, pamoja na Wakenya, watu wanakuja kutibiwa kwetu lakini wao wakishikwa na Changamoto ya kupumua tu wanakimbilia Nairobi. Huyu Waziri walijaribu kuficha ugonjwa wake karibu miezi miwili lakini akajitokeza mwenyewe kuwa amepona anarudi kazini kuchapa kazi sasa huko Nairobi amesindikiza mgonjwa au ana pneumonia?
 
Good point
 
Nairobi ni karibu na Chato,si kwa ajili ya ubora wa tiba zao.
 
Wenye Mamlaka wanapofanya Hukumu basi wayatende kwa HAKI. Wasipofanya hivyo basi nao Hukumu ya Mungu itakuwa juu yao. Ndiyo maana maandiko yanasema Hakimu wa kweli ni Mungu pekee. Tenda Haki unapokuwa umekikalia Kiti cha Maamuzi.
 
Watanzania tuache roho mbaya.kama kifo hata sisi tutakufa tumuombee mzee wetu kwa ajal aliyopata kutokana na kufanya mazoez

HAKUNA aliye mkamilifu tusioneshe chuki za was

NI MM NILIYETUMBULIWA KUTOKANA NA VYETI FEKI LAKIN YEYE ANA PhD FEKI
 
Nzige nao wanaendelea kuchanja mbuga wengine wanaenda kuwa kitoweo cha Wagogo huko kanda ya Kati na kundi jingine linaelekea mkoa wa Tanga
Kwa iyo nchi hadi kuvamiwa na nzige unasikia raha ? ndio.maana chadema tuliwapiga chini mko zero kwenye uzalendo.Hata nzige tu kuvamia madhba ya watu.mnachekelea

Yaani wewe wapiga kura wako mashamba yao kuvamiwa na nzige unachekelea kama bwege.Kinachokupa raha hapo nini? Wapiga kura kufa njaa .Wewe shetani kabisa na lichama lako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…