Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hizi bangi sasa. [emoji817]
 
nina uhakika na kesho yangu.naishi miaka 100+ kwa Jina la YESU KRISTO.magufuli hatoboi afe tu kwani yeye ameua wangapi afe tu
Mwenye haki ataishi miaka mingi, utaishi hiyo miaka 100 mkuu na mm ninakuombea.

Huyu mdhalimu wanayemshabikia atateketea kama yateketeavyo makapi.
 
Mimi nafikiri huenda hatutakiw kufahamu hii habari, kwanza tuifahamu kwanini.
Suala la maombi sio hadi ujue mtu anaendeleaje mtu anaye ombewa sio anaye umwa tu.

Hapa kikubwa ni kumuombea mema siku zote kama kweli tunaupendo naye na afya njema basi, kwani mnafikiri toka awe Rais miaka yote hiyo hajawahi kuugua na kwanini hatuambiwi wala hatujawahi kuhoji au tunajifanya hatujui kama ni mwanadamu na yeye anaugua.

Kwa mfano kweli tumeambiwa anaumwa and then what?, tukiambiwa haumwi pia then what? Suala la kuumwa ni suala personal kuna watu tunailazimisha kuiweka kwenye siasa.

mimi naona tumuombee tu hata pasipo kujua chochote mungu ambariki kiongozi wetu awe mwenye afya tere no matter what AMEN 🙏🏾.
 
Unadhirisha wewe ni kikaragosi tu cha Jiwe huna lolote....!!!
Bila ya shaka ni walewale mnaopiga kampeni za chinichini ili Jiwe aongezewe muda wa Urahisi from 5 to 7 years....!!!
Huo ujinga pelekeni Chato kama mwataka aendelee mtampa huo Ubunge, u-DC ,u-RC hata ubalozi wa kaya....!!!ISi mwampenda?
Mimi nasema hivi, kama habari hizi ni za kweli au za uongo yuko wapi MSEMAJI WA SERIKALI ILI AKANUSHE AU KUKUBALI HABARI HII YA UGONJWA WA RAIS ILI KUONDOA RUMOURS???
 
nadhani licha kuwa ni ishara mbaya.. au sio tabia nzuri kundi fulani kumzushia kiongoz wa nchi kifo.
kuna haja ya viongozi hawa kuhitafakari, why hate against them imeongezeka?
haswa kipindi hiki?
lazima tujue asili ya binaadamu si kupendwa na wote.

achia mbali umekuwa kiongozi ndio kabisaa.
unaweza tafuta kiongozi yeyote duniani ambaye unahisi alijitahidi kwa nguvu sana kuwa mwema,halafu kupitia yeye kajifunze tabia za binaadam.
 
Watu mna utani nyie
 
Kuweni na amani yupo salama, Why Nairobi,India kimekosekana kipi Bongo? Wasaidizi watoe taarifa teuzi,sijui kwanini Bashiru asitoe ratiba mkuu,teuzi na kuapisha.
Poor mind
 
Rais ni Superman. Akiumwa chochote anaponyeshwa literally on the spot in milliseconds. He is just taking some time off kama JK alivyokuwa akichukua breaks kwenye 5-star resorts.
Sawa
 
Wenye Mamlaka wanapofanya Hukumu basi wayatende kwa HAKI. Wasipofanya hivyo basi nao Hukumu ya Mungu itakuwa juu yao. Ndiyo maana maandiko yanasema Hakimu wa kweli ni Mungu pekee. Tenda Haki unapokuwa umekikalia Kiti cha Maamuzi.
Brilliant!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…