Majungu tu hayo, Rais yupo mzima na afya tele anapumnzika. Serikali ya Tanzania haiwezi kuficha maradhi yoyote yale tena ya Rais. Vijana wengi mmekumbwa na ugonjwa sijui wa aina gani. Ati habari za kuokoteza okoteza huku na kule kutoka kwa kilema Tundu Lisu ndio mmezishikia Bango.
Mtakoma tu, hatoki mtu zile za kuchuma na kusaza hakuna tena Governor yupo macho mkijaribu tu mtakiona cha ntema kuni.
Ili kujua huo ni uchuro kwamba yupo Kenya - Hawezi kwenda Kutibiwa Kenya, yupo tayari kufa bila tiba, shujaa wa kweli.