mistari4G
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 554
- 652
Ye ni muumini wa hii mambo ya kutambikaKama hii ni kweli, Watanzania wote tuna wajibu wa kumuombea kwa Mola aweze kupona kwa haraka na kuendelea na shughuli zake kama zamani - Taifa letu bado linamuhitaji sana binadamu huyu ambaye ame idhilishia Dunia katika uwezo wake kikazi, uwajibikaji na uongozi uliyo tukuka.
Tukumbuke kwamba mpaka sasa viongozi wengi mashuhuri wamekwisha patwa na ugonjwa huu wakashughulikiwa na madktari mabingwa wakapona,mfano: Rais Donald Trump na mkewe, Rais wa Ufaransa,Angela Merkel wa Ujerumani, Waziri mkuu wa Uingereza, Prince Charles nk, wote hao walipewa dawa wakapona bila ya kutumia chanjo.
Siku za hivi karibuni kuna dawa ambayo inaonyesha kutia matumaini mapya ya kupambana na virus vya COVID-19 kikamilifu- dawa hiyo sio ngeni uligunduliwa na mwana sayansi wa Kijapan kwenye miaka 1970s - inatibu wanyama na wanadamu kwa ufanisi wa hali vyao juu - wana sayansi wameinjaribu kwa wagonjwa wa Kovid ja wapo ikiwa ni Vidonge vya kutibu matenda ivermectin - dawa hii inapigwa vita sana na makampuni yanayo kuzalisha chanjo, hawaitaki kwa kuwa ni cheap kuliko chanjo-huko Merikanki kwa mfano kuna majibo yamekwenda mpaka mahakamani kulazimisha Uongozi wa majimbo hayo kuruhusu vidonge vya matende kutibu jamaa zao walio kumbwa na Covid-19,kuna mama fulani mwenye umri wa miaka 86 alishawekwa mpaka kwenye ventillator, cha ajabu baada ya bibi huyo kupewa vidonge vya invermectin, hali yake iliendelea vizuri na akapona kabisa - mataifa mengi ya Latin Amerika na Ulaya yanatumia dawa hii kuponyesha raia wake na hii "wonder drug" na sisi Tanzania tuanzishe zoezi hili muhimu kwa wale wanao umwa. Kama kweli Kiongozi wetu wa Taifa anaumwa binafsi naona ingekuwa vema kama wangeletwa wataalamu wa Kichina wenye uzoefu kumtibu au Taifa limpeleke huko huko Uchina kwa uangalizi wa karibu zaidi, kuliko Kenya.Hayo ni maoni yangu.
Tumuombee wapi sasa?