Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.

[/HEADING][/HEADING]
[HEADING=3][HEADING=3]Nyani Ngabu

Platinum Member​

May 15, 200687,8522,000
C-19 imepaishwa sana. Si kali wala hatari kama tulivyoaminishwa.

Ingalikuwa kweli ni kali na hatari, basi ingejulikana tu.

Watu walio wagonjwa hawawezi kufichika.

Shule zimefunguliwa toka mwezi gani vile?

Kampeni za uchaguzi zilianza mwezi gani vile?
Wewe ni observer kweli kweli!
😀😀"Siku ya kufa nyani miti yote huteleza"
 
Nawaomba myatafakari haya na ikiwapendeza, fanyeni maamuzi sahihi before it is too late.

1. Inafika Ijumaa Kuu haonekani kanisani

2. Inafika Jumapili ya Pasaka pia haonekani kanisani

3. Kipindi chote cha sikukuu ya Pasaka haaenda kijijini Kwake kwa mapumziko kama afanyavyo miaka mingine.

4. Sijui mlijuaje mkaahirisha mapema sherehe za Muungano(nilisikia/nilisoma mwaka huu mmezifuta)

4. Inafika siku ya May Mosi pia haonekani au anatuma salama tu.

5. Bahati mbaya mambo yanaharibika (hatuombei), mtaanzaje kusema?

Mkisema, hamtasutwa?

Je, hayo yakitokea, mtakuwa mnaficha nini?

Hakuna anachopitia ambacho wanadamu wengine, wakiwemo wenye au waliowahi kuwa na wadhifa kama wake, hawakuhi kupitia na hata sisi wengine tunaweza kupitia wakati wowote. Hivyo, tumieni akili, uzoefu na busara kufanya kilicho sahihi sasa kabla hamjachelewa.

Anzeni sasa tena kwa kutoa updates kadri inavyowezeka na hakika mtaheshimika na kama kweli ni mzima,pia semeni.


Ni ushauri tu.
 
Okay.

Let me put it this way, you have some thought provoking proposition, but, alas, this is not the place for their deep exploration.

May be some day, we may have a chance for debate on the subject matter.
Great! I got you! Let us breath deeply, and thank the Most High. Blessings. Be blessed.
 
Magufuli ni mzalendo wa kweliiiii , kamwe hawezi kukubali kwenda kutibiwa kwenye hospital za mabeberu au vibaraka wao.

Waliposema yuko Kenya, nikacheka sana hadi secretary kaja kuniuliza kulikoni!? Walipogundua waandishi wanafuatilia Nairobi Hosp. chapchap wakasema kahamishiwa India. Anywezs, hii yote ni dalili kwamba JPM amewasambaratisha vichwa maji hawa. Na mwaka huu wamesahau kuingia kwenye ^chuo cha hakika^ (according to Diamond 🙂 ); na sharti sasa wainame kama wanataka vya uvunguni.
 
Nawaomba myatafakari haya na ikiwapendeza, fanyeni maamuzi sahihi before it is too late.

1.Inafika Ijumaa Kuu haonekani kanisani

2.Inafika Jumapili ya Pasaka pia haonekani kanisani

3.Kipindi chote cha sikukuu ya Pasaka haaenda kijijini Kwake kwa mapumziko kama afanyavyo miaka mingine.

4.Sijui mlijuaje mkaahirisha mapema sherehe za Muungano(nilisikia/nilisoma mwaka huu mmezifuta)

4.Inafika siku ya May Mosi pia haonekani au anatuma salama tu.

5.Bahati mbaya mambo yanaharibika (hatuombei), mtaanzaje kusema?

Je, mpaka hapo mtakuwa mnaficha nini?

Hakuna anachopitia ambacho wanadamu wengine, wakiwemo wenye au waliowahi kuwa na wadhifa kama wake, hawakuhi kupitia na hata sisi wengine tunaweza kupitia wakati wowote, hivyo tumieni akili, uzoefu na busara kufanya kilicho sahihi sasa kabla hamjachelewa.

Ni ushauri tu.
Mkuu, wote hao ni kama tu panya waliopo darini, ni nani wa kumfunga paka kengele?
 
Unadhani Kaka wanawaambia watu watumie malimao lkn wao wakiumwa wanawahi Ventilator sini utapeli wa roho za watu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kaka nimeshangaa sana hadi yanafungwa matanuru ya kujifukizia lakini wakinasa Corona wanawahi kwenye matibabu ya kisasa Nairobi na India pamoja na mitungi mizuri ya oxygen!Ni mambo ya kushangaza sana.
 
Waliposema yuko Kenya, nikacheka sana hadi secretary kaja kuniuliza kulikoni!? Walipogundua waandishi wanafuatilia Nairobi Hosp. chapchap wakasema kahamishiwa India. Anywezs, hii yote ni dalili kwamba JPM amewasambaratisha vichwa maji hawa. Na mwaka huu wamesahau kuingia kwenye ^chuo cha hakika^ (according to Diamond 🙂 ); na sharti sasa wainame kama wanataka vya uvunguni.
Wapinzani mtapata taabuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom