Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mila na desturi zetu waafrika zipo wazi kabisa, sio jambo jema kufurahia matatizo ya mwenzako hata kama ni adui yako. Hasa suala la ugonjwa na msiba sio la kufurahi linapompata binadamu mwenzako.
Wananchi walipiga kura na CCCM ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCCM akipata ugonjwa au msiba.
Wananchi walipiga kura na CCCM ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCCM akipata ugonjwa au msiba.