Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Mila na desturi zetu waafrika zipo wazi kabisa, sio jambo jema kufurahia matatizo ya mwenzako hata kama ni adui yako. Hasa suala la ugonjwa na msiba sio la kufurahi linapompata binadamu mwenzako.

Wananchi walipiga kura na CCCM ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCCM akipata ugonjwa au msiba.
 
Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Yawezekana wamezidiwa na wagonjwa wa matatizo ya kupumua na ventilator zimeisha.
 
Allen Kilewella bora wakae kimya!

Kwa necha ya wabongo kama wale wa kule twittani ikitangazwa itakuwa ni fujo!

Usisahau pia kutangazwa kutakecreate power struggle kule juu,na ukumbuke kama ni kweli na yakatokea mengine zaidi,kikatiba tunarudi kwenye uchaguzi!
Utandawazi wa leo guns la kuficha, uombe wakusetiri tu.
 
Mila na desturi zetu waafrika zipo wazi kabisa, sio jambo jema kufurahia matatizo ya mwenzako hata kama ni adui yako. Hasa suala la ugonjwa na msiba sio la kufurahi linapompata binadamu mwenzako.
Wananchi walipiga kura na Ccm ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCcm akipata ugonjwa au msiba.
Unakumbuka tulipotaka kumuombea tundu lissu mlitutawanya kwa mabomu? Haya ndiyo matunda yake sasa, ukipanda chuki utavuna chuki.
 
Mimi Sina cha kusupport CCM hata lumumba sijui ilipo ila toka tupate Uhuru umewahi sikia kiongozi wa nchi kalazwa Kenya? kwa nini vijana kwa mtazamo wangu wamekuwa na uelewa wa chini kuhusu dunia kiasi hiki?

Nairobi hospital itamtibu nini Magufuli , Mugufuli yuko wapi kwani waandishi wa Tz kazi Yao nini siwatafute njia ya kuwa siliana na Wahusika kupata taarifa ya alipo na watu habalishe, Unafikiri uandishi wa habari ni kuchat tu Instagram, waandishi wa habari wa Tz kwanza hili ni jukumu lenu kutoa challenge kwa fake news za nje.
Mkuu upo nje ya swali na mada.

Niliimiss sana hii ID pamoja na IDs ambata kama @wo shi minh sheiza Brigedia Chan-ocha chama FaizaFoxy Simiyu Yetu et al
 
Namuombea afya njema mh Rais magufuli Tanzania bado inamhitaji kea maendeleo ya ustawi wa taifa letu.

Sio busara kumtakia mabaya mapungufu yake Kama binadamu ndio ya kukosolewa ila yeye kaka yeye tumuombee kwa upendo.
 
UKWELI ULIJIFICHA KUHUSU MAGUFULI
cc.JajiTz

Dunia nzima imetega masikio na macho kodo kujua Mtu makini, kipenzi cha dunia na Mwamba wa Afrika anaplani ipi mpya ya kuifundishe dunia nzima inakumbukwa na kutambuliwa alipokaa kimya akiwa Chato alikuja na maono mazito ya kuisambaratisha Corona kwa Maombi na kufunga, Nyungu kidogo na mazoezi akatupatia majibu ya vipimo vya Mapapai na mbuzi sasa kuwa na Covid-19.

Mtaalamu huyu karudi Maktaba anapekua page mpya ya kuikomboa Dunia basi Ulimwengu wote umetega sikio kupata ukombozi wa mwana wa Mungu aliyebarikiwa Kuiongoza Dunia kutoka Ardhi ya Tz Hakika Mkono wa baraka za Mungu unawatesa wasiopenda kuona Ukombozi wa ulimwengu unatoka Tanzania, Wakati dunia ikisubilia msaada wa Dr. Magufuli kuna watu wanateseka na kupiga kelele kwa uzushi na Kukurupuka.

JPM Piga kazi dunia inasubilia ukombozi wako.
Watanzania Tunakuamini na tunakupenda sana na Tunaamini utakuja kuifundisha Dunia nini kifanyike sasa.
#MzalendoJPM
#MzalendoJPM.

cc.JajiTzView attachment 1722896View attachment 1722897
FB_IMG_1615327928083.jpg
 
Mila na desturi zetu waafrika zipo wazi kabisa, sio jambo jema kufurahia matatizo ya mwenzako hata kama ni adui yako. Hasa suala la ugonjwa na msiba sio la kufurahi linapompata binadamu mwenzako.
Wananchi walipiga kura na Ccm ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCcm akipata ugonjwa au msiba.

Huu ujinga uliouandika hapa tukisoma sisi ndugu zake na lissu tunakuona wewe kama Unao mwenendo usio sahihi yaani wewe ni Taaahira.😁😁😁😁😁

Mkuki achomwe nguruwe tuu akigeuziwa binadamu unakua unauma. Wacha kiumane bhana mwaissa🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Mnaotaka kujua Raisi yuko wapi

Yuko kwenye maombi ya siku 40 ya kwaresma kuombea nchi iondokane na Corona .Kama alivyobeba hilo jukumu kipindi cha Corona awamu ya kwanza sasa kaingia maombi awamu ya pili ya kuishinda Corona round hii ya pili.

Waombaji tuungane naye na katika hizi siku 40 za mfungo wa kwaresma tutaibuka washindi sisi na Mungu wetu .Migani na isiyoamini Mungu itabaki midomo wazi na itajua kuwa Yulo Mungu wa Tanzania aliye tofauti na miungu wa nchi zingine.Wa Tamzania ana nguvu kubwa ya kuipiga mateke Corona nje
Eeenh!

Yaani hata wewe hujui?

Haya uliyoandika hapa, kesho utayakana na usiyakumbuke kabisa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom