Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Ye ni muumini wa hii mambo ya kutambika
Tumuombee wapi sasa?
Your browser is not able to display this video.
 
Kaliziria kanisa maana wanatoa matamko kila siku. Kaona asali directly kwa Mungu wake . Yuko salama kabisa ... Hii ni Kwaresma time muda wa tafakari...
 
Taifa hili kuzushiwa kifo Ni kawaida sna hakika watawala wajiangalie mnk hili limekuwa tofauti mkapa Benjamin nae pia aliwahi kuzushiwa kifo mwka 2015 Kama sikozei kumbe alikuwa yu hai nae
 
Wanahangaika kuweka video za zamani ..Ionekane leo alifanya kazi...Lakini kila wakiweka wanakosea ..Mara moja badi mahiga anaonekana ...Nyiingine ilikuwa kama kweli mwisho wakasahau wakaacha hotuba ya ndugulile kama naibu waziri wa afya ......Naamini kabisa ingekuwa inawezekana kumtoa hadharani wangeishamtoa.

Pengine waweke ile video yake alipokuwa analitukana kanisa pale st peter jumapili ya mwisho wa mwezi .....Na kuwadhalilisha masister na mapadre waliokuwa na barakoa kuwa hawana imani baada ya pale hali ndio ikaja hii.
 
..Nadhani Gerson Msigwa anapwaya.

..Yule dogo ni MC zaidi, siyo mwandishi wa habari anayeweza ku-manage masuala ya Ikulu na Raisi.
I can see,

Walitakiwa waliweke clear mapema maana limeshavuka mipaka ya nchi.
 
Hawa watu wenu ni buree sana...
 
I can see,

Walitakiwa waliweke clear mapema maana limeshavuka mipaka ya nchi.

..kama bwana mkubwa ni mgonjwa, na hawezi kutimiza majukumu yake, they have to tell the nation.

..tena Ikulu wakiwa wametangulia kutoa taarifa kunakuwa hakuna uwezekano wa watakaofuata kuzusha uongo.

..na kama bwana mkubwa sio mgonjwa walitakiwa wakanushe haraka kwa ushahidi usioweza kutiliwa mashaka.

..but Gerson Msigwa has done none of that. Na ndio maana nasema huyu bwana mdogo ni mwepesi. Nafasi yake inahitaji mwandishi mbobezi anayejua dhima ya kuwa muandishi wa habari wa Raisi na Ikulu.

cc Nyani Ngabu, Nguruvi3, Richard
 
Waweke zile walizokuwa wanamuita kuwa ni mheshimiwa mungu
 
Pengine unaweza mlaumu Msigwa kumbe yeye kapewa maelekezo ya kukaa kimya...
Awamu hii viongozi wengi hufanya nje ya utashi wao, hufanya kile wanachoambiwa kufanya
 
I second you...

Kama wameamua kunyamaza wangenyamaza totally kuliko akina Mwigulu kutoka na kukemea wanaouita 'uzushi' bila kuweka ukweli even in a single sentence.

Kwa watu wise walipokemea uzushi palipaswa ukweli ufuate sio kukaa kimya.
 
Hii umejitungia kabisa, mila ya kabila gani Afrika hii!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…