Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Kama Reuters wanataka serikali ikanushe habari ,serikali ipo kimya,duh naanza kuamini rumors hizi
Na hoja ndio ipo hapa!
Serikali inatafutwa ikane au ithibitishe lakini inakwepa
 
Jafo kama ulimuacha mzee amekwenda kwa Ponjori bila nyungu wewe si mtu mwema.
 
Mnamwamini huyu mwehu? Atupe taarifa alizipataje wakati yuko ughaibuni akitumikia mabwana zake? Shame on you Lissu. Unatafuta kiki kirahisi.
USICHOFAHAMU NI KWAMBA PALE NAIROBI HOSPITAL LISSU NI KAMA NYUMBANI KWAO KULE KIJIJINI SINGIDA, HIVYO INATARAJIWA ANA VYANZO VINGI KUHUSU HILI ANALOLIZUNGUMZA. VYOMBO VYA HABARI VIKUBWA KAMA REUTERS, TELEGRAPH, BBC, THE GUARDIAN (UK) SIO WAPUUZI KUMFANYA SOURCE. LAKINI JAMBO KUBWA KABISA BADALA YA KUMSHAMBULIA LISSU KWANINI USIPIGE KELELE SERIKALI YETU ITUELEZE RAIS WETU KIPENZI YUKO WAPI MAANA NI HAKI YETU KUJUA!
 
Hayo mapovu mpelekee lissu afulie gwanda zake.

Mnapapalika sana yaani hadi huruma

Yaani mtu aumwe corona akimbizwe india,kwani india wana dawa ya corona?

Sio kila vuvuzela linajibiwa
Kwani kasema kafa?

Kasema anaumwa na ameanza kutibiwa Nairobi - Kenya na sasa yuko India..

Akipona na kurudi, haitafuta ukweli kuwa aliugua; akapelekwa Kenya na kisha India...

Kama siyo, kanusheni. Kimya maana yake manakubaliana na ukweli huu...!!
 
Amkusikia imenenwa imani yako ndiyo itakayo kuponya na pia imeandikwa usimjaribu BWANA MUNGU wako
 
Hayo mapovu mpelekee lissu afulie gwanda zake.

Mnapapalika sana yaani hadi huruma

Yaani mtu aumwe corona akimbizwe india,kwani india wana dawa ya corona?

Sio kila vuvuzela linajibiwa
Cha ababi siku hizi wagonjwa wa corona wanazimia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…