Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Mheshimwa Ana Siku 2 kuzima Hizi Tetesi na Wasiwasi Walio nao wananchi. Ambazo ni Ijumaa na Jumamosi: Jumapili nategemea kumuona Akishiriki Ibada, Tofauti na Hapo Tetesi zinawez kuwa Habari kamili?
Acha kumpangia mheshimiwa ratiba...
 
It is better thsi thread is closed down as it flames out more stampede than collectively sewing up the venting differences.

If the personal hatred being ideally envisaged in the trailing comments by isome of the JF members whether at own wish or compromise from the rumouring circles tomorrow omay be a sunset to Tanzanias integration should it be warned on that route.
LOoo, mkuu, ulitaka kuandika nini?
 
nadhani licha kuwa ni ishara mbaya.. au sio tabia nzuri kundi fulani kumzushia kiongoz wa nchi kifo.
kuna haja ya viongozi hawa kuhitafakari, why hate against them imeongezeka?
haswa kipindi hiki?

Hate gani za propaganda. Wewe unaweza kumhate kiongozi ukaacha shughuli zako. Mbona kule insta comments 80-90 % wanamwombea na watakuattack sana ukisema kinyume. So Acha maneno ya kujifariji. Watanzania umbea na kuandika kwa kujificha mnapenda. Tena Hapo mtu anakula tu maisha yake.
 
Waliposema yuko Kenya, nikacheka sana hadi secretary kaja kuniuliza kulikoni!? Walipogundua waandishi wanafuatilia Nairobi Hosp. chapchap wakasema kahamishiwa India. Anywezs, hii yote ni dalili kwamba JPM amewasambaratisha vichwa maji hawa.
Wewe unajua alipo, au unajituliza tu roho!

Kama hujui, utasema vipi kuwa wanaokwambia alipo wamekosea?
 
Wanavyonyamaza hivi wanadhani wanafanya vizuri ila wanaharibu zaidi.

Ila tatizo ni Katiba yetu.
Hii ndio ina matatizo na haya yote yanaletwa na Katiba yetu mbovu.

Aliyepaswa kwanza kunyamaza Ni nani. Mleta fununu bila picha au anayetuhumiwa bila kujua. Unapokuwa huna akili Basi ukimya ndo kinga. Je unatafuta katiba Ili kiongozi akisingiziwa na muhuni fulani Basi ajibu. Tuambie ibara ya ngapi tuiweke.
 
Halafu Pa! Anaenda kutembelea mahali..tena kwa makali yaleyale... ilikuwa ni kumset up Tundu Kiasi?
Eeenh Heee!

Atakuwa ni kiongozi wa ajabu sana. Hata Kim atakuwa hamfikii kwa staili ya namna hiyo!

Sijui hasa atakuwa anafaidika vipi na aina hiyo ya kuongoza nchi.

Unaacha watu wajiachie na kutoa sumu zao wanazobeba, na wewe hata hazikustui chochote!
 
..Nadhani Gerson Msigwa anapwaya.

..Yule dogo ni MC zaidi, siyo mwandishi wa habari anayeweza ku-manage masuala ya Ikulu na Raisi.
Kwa hali ilivyo, hapo hawezi kujituma kwa njia yoyote.

Hawezi kufanya ambalo hajatumwa afanye.

Hawezi kukanusha, wala hawezi kutolea maelezo..., sasa afanye nini?

Niulize, kati ya wote walio kwenye safu, labda Makamu anaweza angalau akasema kitu kiujumlajumla tu kupunguza udadisi mwingi?
 
Alituagiza tufunge na kuomba siku tatu je ulifunga
Sasa mimi naamini Raisi yuko kwenye maombi ya kufunga kwa siku kadhaaa
Baba magufuri Mungu wangu wa mbinguni akutie nguvu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom