imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sasa huvai condom halafu ukikutana na "Kitu" unasema eti ni bahati mbaya na kwamba unamtanguliza Mungu what a load of BSYeyote akiugua ni bahati mbaya! Ukweli ni kwamba kwa mazingira yetu, hakuna mwenye uwezo wa kuchukua tahadhari kama inavyotakiwa! Hali na mazingira haviruhusu, ndio maana tunamtanguliza Mungu!