Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
As for me bora watangulizi wakeAsante! Lakini ukweli unabaki kuwa Mungu ametupa Rais mzuri sana Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As for me bora watangulizi wakeAsante! Lakini ukweli unabaki kuwa Mungu ametupa Rais mzuri sana Tanzania.
Usijitoe ufahamu unaweza toa hiari ya kuchukua tahadhari kwenye kupambana na janga? acha kubadili kauli ,kiburi kitawaumbuaHakuna aliyesema tusichukue tahadhari. Tunachosema ni kumtanguliza Mungu mbele na tahadhari nyingine zote zinafuata nyuma! Na utukufu wote apewe Bwana Mungu.
Last time wakati tunaambiwa Mungu alituponya which is right tahadhari zilicukuliwa kama zote ko ilikuwa maombi na tahadhari lakini saizi imeachwa kuwa hiari na maneno ya kejeri juu.Yeyote akiugua ni bahati mbaya! Ukweli ni kwamba kwa mazingira yetu, hakuna mwenye uwezo wa kuchukua tahadhari kama inavyotakiwa! Hali na mazingira haviruhusu, ndio maana tunamtanguliza Mungu!
This has nothing to do wih our president wamesema an African leader kwani ni Magufuli pekeyake mbona watu tunakuza sana
i support you kabisaAsante! Lakini ukweli unabaki kuwa Mungu ametupa Rais mzuri sana Tanzania.
Mkuu kama ni kweli basi Lissu ametonywa na jamaa zake hapo Nairobi ,lakini pia hiyo hospitali ya Nairobi imeizidi kiasi hicho Muhimbili jamani hii ni ngumu kumeza labda S.AMike sonko na Raila odinga pia wamelazwa nairobi hospital kama sikosei ndiyo hospital aliyokuwa amelazwa Tundu lissu
Hata sikumbuki, ila hawawezi kuwa sawa. Mmoja alikuwa mstaafu, mwingine ndiye.Nimependa avatar yako madam..
Kwani BWM alitibiwa wapi?
Basi utulie!Sina nafasi ya kushauri
Ila huyu mwanakijiji nadhani atakuwa mkimbizi wa kujitakia huyu!Ni kweli sio vizuri kujibu kila tetesi but remember hi ya mwanakijiji inamuhusu mkuu wa nchi, sio jambo rahisi hilo mkuu
Barabara za masimango kama vile kajenga kwa hela za mamake, wakati ni kodi zetu. Aende tu kumsalimia Nyerere, barabara tutajenga wenyewe.Jamani! Huku kwetu bado hajamaliza kujenga barabara ujue!
Yes inawezekana kabisa ametulia kwa sababu ya kwaresma we subiri utaona atakavyoibuka na kunyamazisha watu.Huyu Bwana huwa anafanyaga comedy kumake headline anapima upepo, yupo tu anatuchora mara vuup ataibukia kwenye uteuzi au ufunguzi huu mwezi hauishi.
Kwahiyo wewe unataka ulazimishwe kuchukua tahadhari kwa ajili ya maisha yako?Usijitoe ufahamu unaweza toa hiari ya kuchukua tahadhari kwenye kupambana na janga? acha kubadili kauli ,kiburi kitawaumbua
Mimi si mgeni, Mzee yupo rest anasoma tu coments zenu anasema hii!.Yes inawezekana kabisa ametulia kwa sababu ya kwaresma we subiri utaona atakavyoibuka na kunyamazisha watu.