Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Chadema hawawezi kuwa 95% ya watanzania
.....kwa kuwa Magufuli ni Rais wa CHADEMA tu siyo?

Kama 95% ya social media members ikiwemo JF, FB, Twitter, Instagram nk ni pure CHADEMA tupu, basi CHADEMA ni very influential and powwful political party....!;
 
Kiongozi wetu anaumwa au yuko mzima?
Kwa sasa yuko wapi?

Habari za kuumwa Corona na kulazwa Nairobi zimetolewa rasmi na vyombo vya habari za Kenya siku ya Jumanne usiku, kabla ya hapo kulikuwa na trend za tetesi tu mitandaoni.

Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza.
1. Waandishi wa vyombo vikubwa vya habari vya Kenya kama NTV wanaweza kutengeneza uzushi mkubwa namna hiyo kwa kiongozi wetu?

2. Je, mamlaka za Tz zimeshindwa kukanusha taarifa hizo kwa ushahidi wa wazi ndani ya masaa 24 toka kuzagaa kwa hizo taarifa?

3. Kwanini Nairobi Hospital wameshindwa kukanusha hizo taarifa na badala yake wameishia kusema 'No comment' ?

4. Kwanini BBC yenye ofisi kuu kwa kanda hii pale Nairobi wameipa nguvu na mwendelezo taarifa ya kuumwa rais wetu?

PANAPOFUKA MOSHI PANA MOTO CHINI.
Mnacho sahau ni kwamba siku hizi BBC Swahili Service imekwisha geuzwa vuvuzela wa kuisema vibaya Tanzania specifically Dk. Magufuli kibaya zaidi watangazaji wa BBC wanao litangaza vibaya Taifa letu ni Watanzania wenzetu!
 
Pia usisahau BBC swahili service ofisi zao kuu kwa sasa ziko jijini Nairobi, hatua kadhaa kukaribia Nairobi Hospital. Ukiona wanaripoti kitu kinahusu tukio lililotokea Nairobi basi ujue 99% ni ukweli mtupu.
 
Ombi kubwa kwa sasa ni kumwombea apone huu ugonjwa maana tumeelezwa yupo Nairobi. Covid 19 with cardiac attack.

BBC world.
Sasa mbona ana changamoto nyingi hivyo,Yupo ICU?
 
10 March 2021
Johannesburg, Republic of South Africa

Speculation rife over Magufuli’s whereabouts​

John-Magufuli-REUTERS.jpg

Image: REUTERS
One Kenyan newspaper alleges that John Magufuli may be admitted to one of the country’s private hospitals.
Speculation is rife on social media on the whereabouts of Tanzania’s President, John Pombe Magufuli.

One Kenyan newspaper alleges that he may be admitted to one of the country’s private hospitals.

Opposition leader Tundu Lissu has questioned Magufuli’s whereabouts as he has not been seen in public for two weeks now.

While the Kenyan Newspaper did not mention the Tanzanian head of state by name, it described his government’s reluctance to adhere to COVID-19 protocols.

It quoted diplomatic sources indicating that the leader has been on a ventilator and that he has been ailing for weeks now.

The report further says he arrived in Kenya on Monday.

Meanwhile, Kenya’s former opposition leader Raila Odinga is said to be admitted at the same hospital after he complained of fatigue.

The 76–year–old politician has been on the campaign trail to popularise an initiative aimed at changing the Constitution.

Source : SABC News
 
Mnacho sahau ni kwamba siku hizi BBC Swahili Service imekwisha geuzwa vuvuzela wa kuisema vibaya Tanzania specifically Dk. Magufuli kibaya zaidi watangazaji wa BBC wanao litangaza vibaya Taifa letu ni Watanzania wenzetu!
Hapana kina Salim Kikeke wanaibeba sana CCM na Jiwe. Sema tu na ninyi CCM Hambebeki.
 
Pia usisahau BBC swahili service ofisi zao kuu kwa sasa ziko jijini Nairobi, hatua kadhaa kukaribia Nairobi Hospital. Ukiona wanaripoti kitu kinahusu tukio lililotokea Nairobi basi ujue 99% ni ukweli mtupu.
Nilitegemea BBC Swahili waeleze kutoka vyanzo vyao, lakini wameishia kusema wamemhoji Lissu, na Lissu kaambiwa na watu wa huko hospital. Source ya habari yao ni Lissu, inasikitisha kwa kweli. Wanashindwaje kuwa na informers kwenye system?
 
BBC haikuelezea zaidi ila kuna tweetmoja inaelezea vuzuri humu.
 
SABC News ni ya jamaa zenu wa huko Bondeni kwa Madiba. Hii haitumiki na mabeberu ingawa iko huru kuliko TBC na media nyingi za bongo.
 
Kinachoshangaza wote source ya taarifa zao ni Lissu. Hawana informers huko Nairobi?
 
SABC News ni ya jamaa zenu wa huko,Bondeni kwa Madiba.Hii haitumiki na mabeberu ingawa iko huru kuliko TBC na media nyingi za bongo!
Shida ni taarifa yao wameipata kutoka kwa Lissu. Wangeingia wenyewe kujua ukweli. Wao wameishia kum-quite lissu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom