Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Whether he is sick or not I pray for him. Mkono wa Mungu umguse na ulinzi utamalaki na awe mzima kuanzia sasa kwa jina la Yesu.
 
Wataingia wapi sasa wakati JIWE anafichwa hivyo.Nimeona Mwigulu Nchemba anajibu hoja ya Lissu facebook kwa vitisho badala ya kutuhabarisha nini kinajiri!
Kama anafichwa Lissu kajuaje? Walitakiwa wawe na informers Kama hao ambao Lissu anawatumia kupata taarifa na sio kusubiri Lissu aseme na wao ndio watoe habari.
Nimewapuuza
 
Whether he is sick or not I pray for him. Mkono wa Mungu umguse na ulinzi utamalaki na awe mzima kuanzia sasa kwa jina la Yesu.
Kwa kawaida ili maombi yawe effective lazima utaje tatizo/ugonjwa unaosumbua ili uweze kuondoka. Mungu ni specific, kumbuka yule kipofu Bartholomayo aliyeomba rehema kwa Yesu. Yesu alimuuliza unataka nikufanyie nini? Yesu alimuuliza wakati anajua kabisa huyu ni kipofu. Mpaka batholomayo aliposema nataka kuona, ndipo akapokea uponyaji. Na sasa Jiwe&Co nao weleze tuombe juu ya nini?
 
Hana hoja zaidi ya kujiunga katika ujinga wao. Angekuja na kulaani kuzushiana habari mbaya, kwa uzee wake angeeleweka.
 
Naona Washington post na wao wameichomolea hii habari,Haipo mtandaoni au tuseme TCRA wameshafanya yao.
Source ya hizi habari ni zile zile financed by mabeberu! Hii itawavua nguo hasa Lissu! Aibu! Aibu!
 
"Mafia" walipongea tena kwa ujasiri mkubwa kuikosoa serikali, basi wahusika walipaswa kufanya kazi ya ziada kulinda na kushauri viongozi wa juu kubadili misimamo.

Sasa kama mmekuwa watu wa kuandika scripts zinazochuja angali mko on stage, basi yafaa ninyi kujitathimini kwa kujiuliza majukumu yenu yapo kwa lengo gani na kwa maslahi ya akina nani!!
 
Wametrick watu wamesema tu African leader ila hawajataja ni nani watu wakajaza jibu sahihiii hahaha watu wakikuchukia bana ktk mabaya watakajikuta wanakutakia uwepo bila wao wenyewe kuweza kujizuia
 
Hao ndio wanaojiita wenyewe wapinzani tena kwa ujasili kabisa hivyo ndio wapinzani wetu hao nchini Tz.

Magufuli sio mara ya kwanza kumzushia kuumwa na hadi kifo,akienda Chato wanasema anakimbia Corona na wakawa wanasema kuwa ameshachanjwa chanjo ya corona ila hawatoona noma kuzusha anaumwa corona pamoja hiyo chanjo waliyomzushia.

Wapinzani wa bongo sjawahi kuwachukulia serious maana sidhani hata kama wao wapo serious naona wanaburudisha tu.

Sio ujasili ni ujasiri
 
Pia usisahau BBC swahili service ofisi zao kuu kwa sasa ziko jijini Nairobi, hatua kadhaa kukaribia Nairobi Hospital. Ukiona wanaripoti kitu kinahusu tukio lililotokea Nairobi basi ujue 99% ni ukweli mtupu.

Ipo wapi hiyo habari unaweza kutupa link?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom