Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor and total contradiction!Magufuli akifa sijui Kama tutapata rais Kama huyu.jasiri mwenye msimamo
Ila tatizo lake moja tu kuondoa watumish hewa halafu kushindwa kuweka vijana wasomi kwenye hizo nafasi..halafu msomi mzima unayemwamini MUNGU unaenda kwa babu wa loliondo kupata kikombe?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kama ikiwa corona, ndo nini sasa?Wanaogopa wakiweka wazi mtasema ni corona hata Kama siyo, na unajua hawa waafrika wenzetu wanavyoogopa kusemwa? Angekuwa mzungu angeweka wazi maana wao huwa hawajali maneno ya watu.
Jamaa wanamuogopa kinoma. Watu wanaogopa kuvaa barokoa kwa ajili yake.Kwani kama ikiwa corona, ndo nini sasa?
Si ni ugonjwa tu.
Ye ndo wa kwanza kuipata?
He should stop mask-shaming people.Jamaa wanamuogopa kinoma. Watu wanaogopa kuvaa barokoa kwa ajili yake.
And thats the problem.He should stop mask-shaming people.
Sema naendelea kujifukuza[emoji28] unajuaje wote wanajifukiza. Wengine wanatibiwa hospitalini, hizo ni zako wewe.Tuendelee kujifukiza
Nasema uongo ndugu zangu,?Sema naendelea kujifukuza[emoji28] unajuaje wore wanajifukiza!wengine wanatibiwa hospitalini....hizo ni zako wewe!
Are you kidding!Stop making our country live up to the label of a banana republic.