Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Ina maana wenzake akina Masanja, Joti na wengineo walishindwa kuitisha harambee ya michango ya matibabu?

Sidhani kama waliamua kukata tamaa mapema hivyo
 
Ina maana wenzake akin Masanja ,Joti na wengineo walishindwa kuitisha harambee ya michango ya matibabu?

Sidhani kama waliamua kukata tamaa mapema hivyo

Last time masanja aliitisha mchango kwenye Tv watu wengi walitoa, inawezekana ugonjwa wa jamaa hauponi
kama kweli ana uvimbe kichwani aisee wagonjwa wa hivo huwa wanateseka sana
1. Hupoteza uwezo wa kuona
2. Hupoteza uwezo wa kusikia
3. Hupoteza uwezo wa kuongea
4. Hata nguvu huisha kabisa unakuwa mtu wa kulala tu
 
last time masanja aliitisha mchango kwenye Tv watu wengi walitoa, inawezekana ugonjwa wa jamaa hauponi
kama kweli ana uvimbe kichwani aisee wagonjwa wa hivo huwa wanateseka sana
1.hupoteza uwezo wa kuona
2.hupoteza uwezo wa kusikia
3.hupoteza uwezo wa kuongea
4.hata nguvu huisha kabisa unakuwa mtu wa kulala tu
Haya ndiyo mambo ya kukatisha tamaa, walikusanya hela za matibabu halafu hawajarudisha mrejesho kwa umma juu ya hali ya maendeleo ya mgonjwa. Yaani inshort inawezekana wametelekeza mwenzao. Alifanya kazi nzuri ya kutuchekesha na kutupuzia stress
 
Haya ndiyo mambo ya kukatisha tamaa,walikusanya hela za matibabu halafu hawajarudisha mrejesho kwa umma juu ya hali ya maendeleo ya mgonjwa. Yaani inshort inawezekana wametelekeza mwenzao. Alifanya kazi nzuri ya kutuchekesha na kutupuzia stress
Mbona kiongozi wa kundi lao alieleza kabisa kuwa familia yake ilikataza taarifa za mgonjwa wao kutangazwa.
Mwanzo kabisa walikuwa wanatoa taarifa kipindi hicho yupo Muhimbili
 
last time masanja aliitisha mchango kwenye Tv watu wengi walitoa, inawezekana ugonjwa wa jamaa hauponi
kama kweli ana uvimbe kichwani aisee wagonjwa wa hivo huwa wanateseka sana
1.hupoteza uwezo wa kuona
2.hupoteza uwezo wa kusikia
3.hupoteza uwezo wa kuongea
4.hata nguvu huisha kabisa unakuwa mtu wa kulala tu
mbona inasikitisha sana😔
 
Haya ndiyo mambo ya kukatisha tamaa,walikusanya hela za matibabu halafu hawajarudisha mrejesho kwa umma juu ya hali ya maendeleo ya mgonjwa. Yaani inshort inawezekana wametelekeza mwenzao. Alifanya kazi nzuri ya kutuchekesha na kutupuzia stress

Hiyo ni kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom