Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nani mzee wa Kiraracha???
Ina maana wenzake akin Masanja ,Joti na wengineo walishindwa kuitisha harambee ya michango ya matibabu?
Sidhani kama waliamua kukata tamaa mapema hivyo
Haya ndiyo mambo ya kukatisha tamaa, walikusanya hela za matibabu halafu hawajarudisha mrejesho kwa umma juu ya hali ya maendeleo ya mgonjwa. Yaani inshort inawezekana wametelekeza mwenzao. Alifanya kazi nzuri ya kutuchekesha na kutupuzia stresslast time masanja aliitisha mchango kwenye Tv watu wengi walitoa, inawezekana ugonjwa wa jamaa hauponi
kama kweli ana uvimbe kichwani aisee wagonjwa wa hivo huwa wanateseka sana
1.hupoteza uwezo wa kuona
2.hupoteza uwezo wa kusikia
3.hupoteza uwezo wa kuongea
4.hata nguvu huisha kabisa unakuwa mtu wa kulala tu
Wapi nimesema "nampenda"???Unampenda mbona haujaenda kumtafuta
Mimi mgonjwa wa nini?Kama wewe mkuu
Mbona kiongozi wa kundi lao alieleza kabisa kuwa familia yake ilikataza taarifa za mgonjwa wao kutangazwa.Haya ndiyo mambo ya kukatisha tamaa,walikusanya hela za matibabu halafu hawajarudisha mrejesho kwa umma juu ya hali ya maendeleo ya mgonjwa. Yaani inshort inawezekana wametelekeza mwenzao. Alifanya kazi nzuri ya kutuchekesha na kutupuzia stress
Hata mimi ni class mate wangu Mbozi mission kwa mzee ndile we jamaaClassmate wangu huyu Mbozi mission,,Mungu ampe afya njema.
Kwao ni Ifakara huyu jamaaVengu kwao ifakara? Sio mfipa yule? Joti ndio ifakara na mpoki kwa upande wa mama ni ifakara
Masanja ni Mpangwa wa Ludewa sehemu moja INAITWA Luponde ila Mbarali aliishi na wazazi wake tuMasanja ni Mgaya wa Mbarali ndani ndani huko!
mbona inasikitisha sana😔last time masanja aliitisha mchango kwenye Tv watu wengi walitoa, inawezekana ugonjwa wa jamaa hauponi
kama kweli ana uvimbe kichwani aisee wagonjwa wa hivo huwa wanateseka sana
1.hupoteza uwezo wa kuona
2.hupoteza uwezo wa kusikia
3.hupoteza uwezo wa kuongea
4.hata nguvu huisha kabisa unakuwa mtu wa kulala tu
Haya ndiyo mambo ya kukatisha tamaa,walikusanya hela za matibabu halafu hawajarudisha mrejesho kwa umma juu ya hali ya maendeleo ya mgonjwa. Yaani inshort inawezekana wametelekeza mwenzao. Alifanya kazi nzuri ya kutuchekesha na kutupuzia stress
Basi mkuu usielezee zaidi, nimejikuta ninapata huzuni mpaka nataka kuliasanaaa kuna mama mmoja nilienda kumuaga maiti yake dah it was very sad niliumia sana aise, amefariki lakini bado anaonekana anateseka
basi mkuu usielezee zaidi,nimejikuta ninapata huzuni mpaka nataka kulia
Sana.Unawez kusema unateseka lakini wapo wenzako wanateseka kitandani kiasi cha kumuuliza Mungu"Unanichukua lini ili niondokane na haya mateso" .Inauma mkuupole sana mkuu,maisha yana mengi sana
Sana.Unawez kusema unateseka lakini wapo wenzako wanateseka kitandani kiasi cha kumuuliza Mungu"Unanichukua lini ili niondokane na haya mateso" .Inauma mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28],kumbe tuko humu eeh[emoji106][emoji106]Hata mm ni class mate wangu mbozi mission kwa mzee ndile we jamaa
sure,Ipo siri katika kufurahi uwapo katika hali yoyote,tumaini jipya linachipukani kweli ndio maana mimi siku hizi nafurahia kila jambo hata wakati nina shida nafurahi tu