Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.
Inchi za kiyarabu za chaanga mwana mgambo akijitablisha kwa majina kama haya,
1.Asumani udongo mweusi.
2.Ali kinyasa nyoka.
3.Joseph abdul kismart mwekundu.
 
Hizi ndio siasa zetu na ndio huchukua nafasi kubwa kujadili vitu kama hivi,sasa hivi haijadiliwi tena hoja ya Magufuli kukimbilia Chato kwa kuogopa maambukizi ya corona kwamba et kila ikitokea mlipuko wa corona ukimbilia kujificha chato.

Sasa hivi Waziri mpango hajaonekana basi inahusishwa corona na akija kuonekana watu wanapotezea imeisha hiyo wanatafuta tukio lengine,ndio siasa zetu hizi tushazoea.
 
Nahisi nilipishana nae Benjamin Mkapa mwishoni mwa mwezi uliopita.
 
Inawezekana kajifungia na watu wa IMF tupewe mikopo!

Mpango anafanya kila awezalo kueleza yote ili tusaidiwe. Ni tofauti kabisa na yule wa Jalalani anayetoa macho kuwatisha mabeberu.
 
Mara ya mwisho alisikika akitoa tahadhari kwa watumishi wa wizara yake kuhusu changamoto za upumuaji
 
Mara ya mwisho alisikika akitoa tahadhari kwa watumishi wa wizara yake kuhusu changamoto za upumuaji
Atakuwa yupo yupo tu! Hata Lukuvi walivumisha kwamba amebanwa pumzi lakini juzi kati ameonekana hadharani akisimamisha ujenzi kule Coco Beach! Kigogo mara nyingi huwa manafiki sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom