Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Sasa ndio amekufa, waliopo Kwenye mkataba itakuwaje!?
 
ila ya mke mmoja nyepesi sana ... muambie shemeji basi mkapate hela za bure bure rafiki🀣🀣
Sio bure unataka tucharazwe na huo ufukara rafiki sababu nyie Me mnajijua vizuri ile sijui ndo mnaitaga necha inavyo wahangaishaga.

Yaani mi nilivyo kifutu na cheusi mangala lazima ipo siku atataka kipotabo unadhania itakuwaje hapo. 🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila hiyo nyepesi sana.. nyama ni ile ile ni namna unavyo turn akili yako tu.. wanawake wapo kila aina ukiendekeza tamaa utakufa.. inafikia kipindi unakomaa na mwenza wako tu kufa na kuzikana
 
Sasa mpaka kifikie hicho kipindi ni leo rafiki. πŸ˜‚πŸ˜‚

I hope uko muzima pia rafiki. 🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…