Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Nini Siri ya hayo masharti. Baada ya muda utayumba na utatakiwa kurudi tena, ndo utaongezewa masharti, baada ya muda utafikia point of no return, sio kazi rahisi kama mnavyofkria.

Shart la Kwanza ni kianzio tu, utakuwa unaongezewa masharti bila kuliacha lile la Kwanza .....It is costfull not easy in the long run
Sasa ndio amekufa, waliopo Kwenye mkataba itakuwaje!?
 
ila ya mke mmoja nyepesi sana ... muambie shemeji basi mkapate hela za bure bure rafiki🤣🤣
Sio bure unataka tucharazwe na huo ufukara rafiki sababu nyie Me mnajijua vizuri ile sijui ndo mnaitaga necha inavyo wahangaishaga.

Yaani mi nilivyo kifutu na cheusi mangala lazima ipo siku atataka kipotabo unadhania itakuwaje hapo. 🤣🤣🤣
 
Sio bure unataka tucharazwe na huo ufukara rafiki sababu nyie Me mnajijua vizuri ile sijui ndo mnaitaga necha inavyowahangaishaga.

Yaani mi nilivyo kifutu na cheusi mangala lazima ipo siku atataka kipotabo unadhania itakuwaje hapo. 🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅 ila hiyo nyepesi sana.. nyama ni ile ile ni namna unavyo turn akili yako tu.. wanawake wapo kila aina ukiendekeza tamaa utakufa.. inafikia kipindi unakomaa na mwenza wako tu kufa na kuzikana
 
😅😅😅😅😅 ila hiyo nyepesi sana.. nyama ni ile ile ni namna unavyo turn akili yako tu.. wanawake wapo kila aina ukiendekeza tamaa utakufa.. inafikia kipindi unakomaa na mwenza wako tu kufa na kuzikana
Sasa mpaka kifikie hicho kipindi ni leo rafiki. 😂😂

I hope uko muzima pia rafiki. 🤝
 
Back
Top Bottom