Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Writing skills sasa, yerewiiiMIMI HUYU TUNDU LISU INJI NA UANAHARAKATI, SIASA HAWEZI ATA KIDOGOOO. AMEIGARIMU CHADEMA KWA KUIKOSESHA WABUNGE WENGI WA MAJIMBO NA KUAMBULIA MUMOJA. AMEZIDIWA NA LOWASAA.
Haaaa haaaa. Jaaamaa yenu kaisababishia hasara CHADEMAWriting skills sasa, yerewiii
Sasa inahusiana vipi na topic hii kumhusu Lissu? Hayo maji hayakuanza kuuzwa hiyo 500 hizo soda zilikuwa zinauzwa zaidi ya 500 na bado watu walinunua. Kama bei zitapanda si jambo la ajabu kiasi kutumia kutetea hoja hii kuhusu ukimya wa LissuKuanzia leo madukani maji ya shs 500 hayata kuwepo. Yatapanda bei kwasababu yanatakiwa kuwa na stika ya TRA kama wanavyo fanya konyagi na pombe kali zote.
Lissu alikuwa akijiandika mwenyewe ana ID tofauti zaidi ya Mia tano kila dakika alikuwa akijianzishia Mada Mara ya kujipongeza na kuji comment mwenyewe akijitekenya na kucheka mwenyewe Baada ya kipigo cha kura kayeyuka anauguza majeraha ya moyo huku akiweweseka usiku.Moto wa makaratasi...
Jaduonga acha hasira! Hoja ya msingi ni Lissu amewapa faida gani kama mgombea? Ishu sio kugombea tu ilimradi umpinge JPM hata kama hukubaliki.Wewe kweli Mungu akuhurumie tu.
Ulitaka Mungu wako asipingwe kwenye uchaguzi ?! Kama kina Trump na ubabe wao wanapingwa ndiyo utuletee huyu asipingwe ?!. Elimu yako haikusaidii hata kwenda chooni