Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
Kweli? Are you serious? Tuache siasa za jalalni- Lissu aliwavuta watu wengi sana na hata wale ambao waliuwa wamekataa tamaa kupiga kura walijitokeza. Lissu alifanya upigaji kura kuwa na mvuto na kwa bahati nzuri, upigaji kura ukafanyika salama kabisa! Ila baada ya kupiga kura yaliyotokea hayakuwa kama wakati wa upigaji! Hapa Lissu anahusikanaje?Mimi naona huyu Tundu Lissu Uanaharakati na Siasa hawezi hata kidogo. Ameigharimu CHADEMA kwa kuikosesha Wabunge wengi wa Majimbo na kuambulia mmoja. Amezidiwa hata na Lowassa.