Una uhakika nchi imetulia?. Hata Ndugai, Jaji Mkuu na NEC wanajua nchi haijatulia . Unajua kwa nini wanaamrisha mahabusu Nusrat kutolewa gerezani nila dhamana, wanaapisha wabunge viti maalumu bila udhamini wa vyama.
Utasikia kesho Halima Mdee na Esther Matiko kesi zao za kufanya fujo gerezani zimefutwa pia. Unajua kwa nini wanaokoteza wabunge wa upinzani waliotaka wasiwepo awali.
Hali siyo hali ndugu yangu, usicheze na mabeberu walishatutangulia. Ilikuwa heri kumpa ulinzi Lissu kuliko kumruhusu kwenda kwa mabeberu tena kwa msaada wa mabeberu walioko nchini.