Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Ulitaka abambikwe kesi ya uhuchumu uchumi fake?
Hakubaliki mngetumia kitengo kukomba mboga ?!. Unakuwa kama si mkulima, unakula mpaka mbegu ?!Jaduonga acha hasira! Hoja ya msingi ni Lisssu amewapa faida gani kama mgombea? Ishu sio kugombea tu ilimradi umpinge JPM hata kama hukubaliki.
Hilo la kitengo halina ushahidi. Nashangaa kusema kuwa hakubaliki, ingia field fanya utafiti utapata majibu.Hakubaliki mngetumia kitengo kukomba mboga ?!. Unakuwa kama si mkulima, unakula mpaka mbegu ?!
Msipige kelele mmeshapata 84 kwa 99.4 % . Tunangoja kuwa kama ulaya.Hilo la kitengo halina ushahidi. Nashangaa kusema kuwa hakubaliki, ingia field fanya utafiti utapata majibu.
Jamiiforums watu wake ni Great Thinkers, ila kwa faida ya nyie slow learners my logic is; mfumko huu wa bei ndani ya muda mfupi maana yake ni kwamba wana Nchi watakumbana na ugumu wa maisha usiyo wa kawaida.Sasa inahusiana kivip na topic hii kumhusu lissu, hayo maji hayakuanza kuuzwa hiyo 500 hizo soda zilikuwa zinauzwa zaid ya 500 na bado watu walinunua. Kama bei zitapanda si jambo la ajabu kiasi kutumia kutetea hoja hii kuhusu ukimya wa lissu
Nani kamkwambia Dangote anaondoka?Ujinga raha sana! Hivi wewe hujui tu kuwa mpaka tunaingia January 2021 uchumi wetu utakuwa umesambaratika? Ngoja nikukumbushe. Kuanzia leo madukani maji ya shs 500 hayata kuwepo. Yatapanda bei kwasababu yanatakiwa kuwa na stika ya TRA kama wanavyo fanya konyagi na pombe kali zote...
Jaduong acha hasira!Msipige kelele mmeshapata 84 kwa 99.4 % . Tunangoja kuwa kama ulaya.
Mtu yeyote mwenye exposure hatakiwi kushabika kinachoendelea nchini kisiasa. Trump angelikuwa Africa na especially Tanganyika, angefia madarakani .
Uliza waliopo Mtwara watakuambia. Mwenyewe ana mpango Wa kuhamishia biashara zake Morocco.Nani kamkwambia Dangote anaondoka?
Hasira mnazo ndani mwenu humo. Hampendi mwanangwa achalenjiwe !!. Kama "namba" tunasoma wote tu.Jaduong acha hasira!
Ahahahahahahahahahahaha! Kumbe ni tetesi za wana Mtwara!? Nilifikiri ni taarifa ya Dangote yenyewe. Basi nimekubali! Ahahahahahahahahah!Uliza waliopo Mtwara watakuambia. Mwenyewe ana mpango Wa kuhamishia biashara zake Morocco.
Kumbe mkisha kuwa na mwenyekiti Bomu basi ujue na wanachama lazima wawe wajinga kama anaye waongoza.Lisu Alikuwa akijiandika mwenyewe ana ID tofauti zaidi ya Mia tano kila dakika alikuwa akijianzishia Mada Mara ya kujipongeza na kuji comment mwenyewe akijitekenya na kucheka mwenyewe Baada ya kipigo Cha kura kayeyuka anauguza majeraha ya moyo huku akiweweseka usiku
CCM wajinga sana! Huwa hawajiongezi hata siku moja! Nenda U tube msikilize akihojiwa na kwa maneno yake kuwa Tanzania ina mazingira magumu ya uwekezaji. JF kuna uzungumzia kuhusu kampuni ya cement Mtwara kufilisiwa, unajua maana yake? Wanafungasha virago hivyooo!Ahahahahahahahahahahaha! Kumbe ni tetesi za wana Mtwara!? Nilifikiri ni taarifa ya Dangote yenyewe. Basi nimekubali! Ahahahahahahahahah!