Inaawezekana huyuhuyu lissu ndiyo sky eclat na huyuhuyu ni erythrocytes hapo nimekuelwwa mkuuLisu Alikuwa akijiandika mwenyewe ana ID tofauti zaidi ya Mia tano kila dakika alikuwa akijianzishia Mada Mara ya kujipongeza na kuji comment mwenyewe akijitekenya na kucheka mwenyewe Baada ya kipigo Cha kura kayeyuka anauguza majeraha ya moyo huku akiweweseka usiku
Unazungumzia uzi wa Return of Undertaker? Ahahahahahahahah! Hujui kuwa alishindwa kutafsiri Kiinglishi akawaletea matango pori!? Ahahahahahahahja!! Basi endelea kusubiria kifungwe. Utani tag!CCM wajinga sana! Huwa hawajiongezi hata siku moja! Nenda U tube msikilize akihojiwa na kwa maneno yake kuwa Tanzania ina mazingira magumu ya uwekezaji. JF kuna uzungumzia kuhusu kampuni ya cement Mtwara kufilisiwa, unajua maana yake? Wanafungasha virago hivyooo!
Sasa CDM wamesusa viti 19, matokeo ya kususa huku si ndiyo kuacha CCM wapige makofi ya kujipongezaBunge limekuwa kikao cha CCM pigeni makofi jipongezeni
Katuache wenyewe tuendeleye kusema ndioooooSasa CDM wamesusa viti 19, matokeo ya kususa huku si ndiyo kuacha CCM wapige makofi ya kujipongeza
Mie nimeuliza tu Tundu Lissu mbona kutuacha wenyewe?