Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
Kweli? Are you serious? Tuache siasa za jalalni- Lissu aliwavuta watu wengi sana na hata wale ambao waliuwa wamekataa tamaa kupiga kura walijitokeza. Lissu alifanya upigaji kura kuwa na mvuto na kwa bahati nzuri, upigaji kura ukafanyika salama kabisa! Ila baada ya kupiga kura yaliyotokea hayakuwa kama wakati wa upigaji! Hapa Lissu anahusikanaje?Mimi naona huyu Tundu Lissu Uanaharakati na Siasa hawezi hata kidogo. Ameigharimu CHADEMA kwa kuikosesha Wabunge wengi wa Majimbo na kuambulia mmoja. Amezidiwa hata na Lowassa.
Weka tume huru tuoneLissu abaki kuwa mwanasheria ndoo uwanja anaoumudu lakin kwa kiongozi wa nchi au mgombea urais bado hajaiva He is coward
Kura zilikuwa zina bebwa nzima nzimaKweli? Are you serious? Tuache siasa za jalalni- Lissu aliwavuta watu wengi sana na hata wale ambao waliuwa wamekataa tamaa kupiga kura walijitokeza. Lissu alifanya upigaji kura kuwa na mvuto na kwa bahati nzuri, upigaji kura ukafanyika salama kabisa! Ila baada ya kupiga kura yaliyotokea hayakuwa kama wakati wa upigaji! Hapa Lissu anahusikanaje?
Sijui unachoielewa wewe ni nini lakini mimi ninaona kwenye hili la Lissu kuna speculations nyingi sana. Lissu kumshambulia Magufuli personally haikuanza baada ya yeye kupigwa risasi, na wala hatujui alishambuliwa na akina nani na kwa lengo gani. Wakati mwingine speculations husababisha ukweli halisi usipatikane. Tatizo watanzania tunapenda taarifa za juujuu na za kimbeambea sana kuliko zile za ukweli. Hata Mbowe alipoanguka tuliambiwa ameshambuliwa na wanaume watatu wasiojulikana!Kwa jinsi nimekufahamu uandikaji wako JF kwa miaka mingi nabaki nashangaa tuu. Je, original Kichuguu alitangulia mbele ya haki na nywila yake imerithiwa siku hizi?...
Tume huru itakujaje kama kiongoz anayewaongoza watu kutaka hiyo tume huru ni muoga yupo nje ya nchi?Weka tume huru tuone
Swali zuri sana.Kwani Tundu Lissu alikuwa mgombea pekee kwenye uchaguzi huu?!
Swali zuri sana.Kwani Tundu Lissu alikuwa mgombea pekee kwenye uchaguzi huu?!
Na wewe ulikuwa unawachukulia Serious?Nafikiri sasa hivi kwa mtu yeyote aliye makini hawezi kuwachukulia serious wapinzani maana hata wao wenyewe wameonesha hawako serious na wanachokitafuta.
Asingeweza kushindana na MABEGI ya kura yaliyojazwa kwenye vituo vya kupigia kura ili kumnyima ushindi! Kilichonifurahisha ni kwa mheshimiwa Rais kukubali kuviboresha vitambulisho vya Mmachinga ili vitumike kukopa benki (copy,edit and pest from Lissu)!Mimi naona huyu Tundu Lissu Uanaharakati na Siasa hawezi hata kidogo. Ameigharimu CHADEMA kwa kuikosesha Wabunge wengi wa Majimbo na kuambulia mmoja. Amezidiwa hata na Lowassa.
Wanabodi;
Nianze kwa kuwapongeza kurudi kuwa kundi moja la kuijenga nchi na kuongeza uzalishaji kwenye kaya zenu...
Asingeweza kushindana na MABEGI ya kura yaliyojazwa kwenye vituo vya kupigia kura ili kumnyima ushindi! Kilichonifurahisha ni kwa mheshimiwa Rais kukubali kuviboresha vitambulisho vya Mmachinga ili vitumike kukopa benki (copy,edit and pest from Lissu)!
Anyway tusiendelee kutonesha vidonda ambavyo havijakauka jambo ambalo halina afya kwa kila mtanzania anayelitakia mema Taifa letu.
ova!