It was shameful election since ever to occur in the history of our country!“... MABEGI ya kura yaliyojazwa kwenye vituo vya kupigia kura ili kumnyima ushindi!...” ni madai yanayotoka kwenye narcissistic playbook ambayo hata Trump na supporters wake wanaitumia. Wakiona irregularity fulani mahali pamoja (an isolated case) wanaizidisha cunningly mara million moja to convince people that it’s a widespread irregularity! Wakiambiwa leteni evidence ya widespread irregularities, wanashikwa na kigugumizi (they have none to produce)
........ a well known chorus by the TZ opposition for years! A fair election is only when the opposition wins.It was shameful election since ever to occur in the history of our country!
Munavyopenda makesi, mungekamata mabegi yakula mkatulia? Kula mlizitengeneza nyinyi wenyewe halafu mkafanya igizo la kutia doa uchagyziii.Asingeweza kushindana na MABEGI ya kura yaliyojazwa kwenye vituo vya kupigia kura ili kumnyima ushindi! Kilichonifurahisha ni kwa mheshimiwa Rais kukubali kuviboresha vitambulisho vya Mmachinga ili vitumike kukopa benki (copy,edit and pest from Lissu)!
Anyway tusiendelee kutonesha vidonda ambavyo havijakauka jambo ambalo halina afya kwa kila mtanzania anayelitakia mema Taifa letu.
ova!
Kesi zingepelekwa kwa mahakama zipi wakati muhimili wa Mahakama uko under control?Munavyopenda makesi, mungekamata mabegi yakula mkatulia? Kula mlizitengeneza nyinyi wenyewe halafu mkafanya igizo la kutia doa uchagyziii. Kula zenu zingekua halali kweli ni zile za NEC msingeweza kuzichoma bila hata kupeleka kwenye vyombo husikaa. Ilaa baada ya kuona ni igizo lenu, na mngezipeleka kwenye vyombo vya dola mngeumbuka, ndo mkaamua kuchoma ilimfiche uhalisia wa igizo.
Wanabodi;
Nianze kwa kuwapongeza kurudi kuwa kundi moja la kuijenga nchi na kuongeza uzalishaji kwenye kaya zenu.
Nimegundua kuwa nchi hii usipokuwa makini unaweza kutapeliwa kisiasa, unaweza kupitiwa na upepo wa nyakati na nusu wakati. Ni takriban mwezi na ushee tukiwa tumemaliza uchaguzi nchini - nachojiuliza ni:-
(i). Yule mgombea Urais aliyejitambulisha wakati wa kampeni kwa jina la Tundu Lissu yuko wapi? Kawaacha wapi akina Ponda, Bagonza?
(ii). Tunaingia msimu wa Kilimo lakini watanzania hatuoni achilia mbali kusapoti wakulima lakini hata kuhamasisha kilimo ili wananchi wajiongezee kipato - msimu wa Kilimo ukiisha aje kula kivulini?
(iii). Wanavyuo wa vyuo vya elimu ya juu wamemaliza mapumziko na kurudi vyuoni - hapiti hata kuwashukuru kwa kura walizompigia Oktoba 2020 - atakuja kuwashawishi eti waandamane kwa kuwa kura zake hazikutosha?
(iv). Wafanyabiashara wadogo "machinga" aliotuhubiria habari zao na wakampigia kura kwa upendo kaondoka bila hata kuwaaga - siku nyingine aje kuwaomba kura?
Kwa ujumla huyu Tundu Lissu alipaswa awepo nchini ili kwa taaluma yake ya mambo ya Sheria amsaidie Rais na Taifa kwenye nyanja hizo - mbona akina mama Mughwira hawakutoroka? Mbona akina Rungwe wapo? Mbona akina Lipumba wapo? CDM mshaurini huyu mheshimiwa aje nchini ajenge nchi yake - mkataa kwao ni mtumwa.
Taifa kwanza
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki
It was shameful election since ever to occur in the history of our country!
Mbona umejisumbua sana kumpa somo pana wakati hata hajui wajibu wa serikali kwa wananchi wake? Mtu anayeulizia aliko Lisu leo unadhani atelewa habari za Dangote kufunga kiwanda? Anyway umewaelimisha wenzake wenye uelewa kidogo. Ila kwa mtoa mada sidhani kama amekuelewa hata chembe.Ujinga raha sana! Hivi wewe hujui tu kuwa mpaka tunaingia January 2021 uchumi wetu utakuwa umesambaratika? Ngoja nikukumbushe. Kuanzia leo madukani maji ya shs 500 hayata kuwepo. Yatapanda bei kwasababu yanatakiwa kuwa na stika ya TRA kama wanavyo fanya konyagi na pombe kali zote.
Soda zote zitapanda bei hakuta kuwa na soda ya shs 500 tena!Umeona bei ya mafuta ya kula? Lita 5 sasa ni shs 25,000/= kutoka shs 18,000 /= kabla ya uchaguzi wa wizi. Kifupi ni kwamba tumekwisha.
Dangote anaondoka, wenye umeme wa solar wanaondoka, hotel kubwa kubwa zinafungwa hayo mapato mtapata wapi? Watanzania kwa maelfu wana kosa kazi na muda siyo mrefu watakuwa hohe hahe sababu ya wajinga kama wewe! Kwa heri akili karibu ujinga.
Kwahiyo kuzichoma ilikuwa ni sahiiihiii?? Toka lini mwizi akamatwe na kidhibiti mkononi halafu uchome, sasa utapeleka ushahidi ganiii?? Ile kiki ya kuchonga kurafekiii mlikosea igizo lakeee, kama kweliii zilikuwa kura feki, kwa nini mlijichukulia sheria mkononii? Hamuoni nyinyi niwavunja sheria wakubwaaa??? Hilo igizo lenuu lilikuwa lakishamba saaanaa. Sasaa mumeenda kushitaki ICC inamaana mumepeleka vidhibiti gani nawakati vidhibiti mlichomaa wenyeweee?? Acheniii utapeliiiiKesi zingepelekwa kwa mahakama zipi wakati muhimili wa Mahakama uko under control?
Waliomshambulia ni akina nani?Wengine tulijua; siku ile kule Mtwara akasema daktari wangu ananitaka nirudi kwa uchunguzi zaidi mwezi wa 12, lakini mara tu baada ya uchaguzi huyooo katimkia kwenye ubalozi wa ujerumani kutengeneza scandal isyokuwepo ili apate urahisi wa kurudi Ubelgiji!
Rafiki yangu mmoja alikutana naye mitaani kwenye mji fulani mdogo nje kidogo ya jiji la Brusless unaitwa Tienen, kumbe alikuwa amepanga apartment pale muda mrefu kabla hata hajarudi Tanzania kupiga kampeini.
Waliomshambulia Lissu walimsababisha matatizo fulani makubwa sana ya akili kwake kwani siku hizi hafikirii kitu kingine zaidi ya Magufuli. Ni vizuri serikali ya Magufuli ingelifanyia kazi jambo la kushambuliwa kwake kwa mapana zaidi ili kumsaidia kisaikolojia ingawa sasa hivi crime scene imeshakuwa contaminated sana.
Kesi zingepelekwa kwa mahakama zipi wakati muhimili wa Mahakama uko under control?
Mimi siwajui na nitafurahi iwapo watakamatwa na kufikishwa mbele ye sheria, je wewe unawajua? Isaidie polisi kuwapata. Tatizo baada ya tukio, kukaanza drama za papo kwa papo na kuchafua mazingira ya kipelelezi.Waliomshambulia ni akina nani?
Mbona hueleweki? Mara nawajua mara Drama? Mbona hatujasikia mbunge wa CCM kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana kama yupo mtaje ? Tafakari hayoMimi siwajui na nitafurahi iwapo watakamatwa na kufikishwa mbele ye sheria, je wewe unawajua? Isaidie polisi kuwapata. Tatizo baada ya tukio, kukaanza drama za papo kwa papo na kuchafua mazingira ya kipelelezi.
Hata mshambuliwa mwenyewe hawajui sasa polisi wangeanzia wapi kuwafahamu - ni tukio lililofasiriwa kisiasa badala ya uhalisiaWaliomshambulia ni akina nani?
Kwakweli kwa nilichokiona mwaka huu na ninachoendelea kukiona, sioni haja ya kuwachukulia serious tena.