Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Umenena vyema
 
Mimi nanunua vitu muhim kama sukari, unga, mchele, mafuta n.k..alafu naacha kodi ya meza daily maana wakati mwingine wife akiwa pekeeyake hapiki ananunua msosi. Pia namkabidhi akiba wife incase of anything mf Siku naweza kwama.
Hakika nyumba yako haitopungukiwa
 
Mimi kipato Changu ni cha kuunga unga
Mara nyingi huwa kuna issue nasikilizia.
Kila Mwisho wa Mwezi huwa nampa 900,000/= TZS cash kwa Matumizi yafuatayo

1. Chakula cha Mwezi mzima (Mimi + Yeye + Dada wa kazi + Mtoto Mmoja)
2. Bills za Umeme
3. Maji
4. King’amuzi Azam
5. Mshahara wa Dada wa kazi
6. Vitu vya Mtoto Mdogo Diaper
7. Nguo za Mama na Mtoto
8. Vinywaji Soda na Juice
9. Vocha ya Mama
10. Nauli zake za kuzurura Nyumbani (Yeye ni Mama wa Nyumbani)

Majukumu yangu
1. Emergency za hapa na pale nahusika
2. Kodi ya kibanda tunachokaa
3. Ujenzi
4. Mafuta na Marekebisho ya Pikipiki ya Familia
5. Afya na Matibabu
7. Mambo ya ndugu , wazazi marafiki
8. Uwekezaji
9. Ukarabati wa kitu Chochote cha Nyumbani
10. Matumizi yangu Binafsi Mjini
11. Michango yote ya Mtaani, Jumuiya, Kanisani

Sasa hapo sijui niko sawa au kuna sehemu nazingua . Ushauri wenu wakuu
 
Mimi huwa nikitoka mikoani nakuja na vyakula, huwa nanunua vitu kama Samaki na nyama maana wife na watu ninaoishi nao hawajui kuchagua haswa samaki wazuri wa kutoka ziwa Victoria, Wife huwa nampa pesa ya matumizi kama kawaida maana ukitaka upate tabu jifanye aumpi mke pesa ya matumizi
 
Inategemea una Mke wangu wa aina gani kuna mwanamke kula sio kipaumbele sasa ukimuachia hela ya kula kwa mfano 300k

Katika hali ya kushangaza sana unaweza shangaa unakula mchicha pekee kila inapofika trh 15 kuendelea

Hlf sio kwa ubaya utashangaa anakujazia mapazia mapya na vyombo vipya kwenye ileile budget ya kula...

Sio kwamba vyombo hamna au mapazia hamna ila sio ana vipaumbele vyake

Wa hivyo ndugu yangu nunua kilakitu then mpe walau 150k imsaidie kwenye mambo yake.....

Kwa ujumla kumpa budget ya jiko mke ni jambo zuri.Mo nanunuaga lita 10 mafuta,gunia mkaa,Gas,mpunga gunia na unga kilo 50 hlf nampa budget.Sasa siku nayo mpa nashangaa kaniletea shati na sendo mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji31][emoji31].Mara kanunua stand mpya ya viatu eti ya zmn ni fashion ya zmn.Week ijayo anaanza kujipigisha story yaani hela ya mwez huu yote nishanunulia vitu.Najikuta tena natoa 100k mwezi uishe vzr

Mjue mke wako,ijue budget yako.Balance mambo
 
Kwan kwenda sokon lazima adrive? Kwahiyo wasio na magari hawaendi sokon?
 
Nadhani inategemea!unaweza kuacha pesa,then mamlo naye Ni mchacharikaji so ikawa pia ngumu kuhemea,vimboga mboga mbadiliko,na pia wezetu wa znz au dini yetu inasema mwanamke Ni wakulishwa,kuvishwa so kuhemea maitaji ya nyumbani kwa mpemba Ni kawaida.unaweza ukaacha hela Ila ukawa na pilika pilika mjini au unafanya kazi karibu na soko ukawa jioni ukirudi unaleta vimboga na baadhi ya vitu vilivyo kosekana.so inategemea na katiba ya ndoa yenu
 
Balaa lake si la nchi hii
 
On my own behalf, natamani mwanaume anayenunua kila kitu aweke ndani, nikihitaji kitu binafsi nimuombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…