Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
- #181
Umenena vyemaWanawake kwa asilimia kubwa ni wazuri katika kupanga matumizi hasa ya nyumbani na inawapa fahari fulani ukimpa madaraka ya nyumbani anakuwa anajisikia kuwajibika kwa kiasi fulani. Mimi huwa na mpa mke wangu pesa za matumizi yeye ndio boss wa mambo ya ndani mimi na deal na mambo ya nje. Tunagawana madaraka ila wanawake kwa ujumla ni wazuri katika kusimamia budget ya nyumbani.