Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

Siang'a, Phiri na Masoud Jumaa wa Simba. Mi naamini mafanikio ya Simba msimu uliopita yalichangiwa sana na chemistry ya wachezaji iliyoimarishwa na Masoud Jumaa.
 
Huyu kocha alikua mzuri baadae akaenda kwao Zambia akalogwa aliporudi tena simba akawa kama kichaa kila mchezaji mzuri anamuweka benchi kuanzia tambwe maguri na vijana wengine kibao matokeo yake akavuruga timu nzuri sana iliyokua imejaa vijana na wakongwe wachache!!.. simba hatuna hamu tena na huyu kipara mbabe!!
Umri unavyosogea na akili inapungua pia
 
Victor stantclaus, Tambwe Leya,Raul Shungu,Rudi Guntendorf, Micho, Plujim(Yanga),/Nabi Camara,Samsorov,Edil Silva, Popadi, Sianga, Patrick Phiri,Omog, Lenchentre na Patrick Aussem( Simba)
Samsorov tulikuwa tunamuita Sambusa Mbovu
 
Back
Top Bottom