Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Unakuwa na nguvu kama mfumo wa CCM upo na wewe - as soon as ukikutema umekwisha !! Nawapongeza sana wana CCM wote waliogombea USPIKA na majina yao hayakurudi, wangejaribu kwenda kugombea kama wagombea binafsi ingekuwa majanga makubwa mno kwao.

Hii ndiyo CCM yetu, ni lazima ujue kuishi nayo wa akili.
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...
Atakuwa ndani anajuta waliomshawishi aseme kuhusu mkopo wamemtelekeza.Hata simu zake watakuwa hawapokei.
 
Hivi tangu Bunge limeanza hiyo jana kama sikosie, Ndugai ameonekana Bungeni kushiriki vikao vya Bunge?

Kama hajahudhuria, ni wakati wa kuanza kumuhesabia idadi ya vikao/mikutano ya Bunge ambavyo hajashiriki kama alivyokuwa anafanya kwa wenzake tena kwa msisitizo mkubwa wakati akiwa Spika.

Sisi tuhesabu na kuwakumbusha, maamuzi tunawaachia wao.

Sheria ni msumeno.
 
Mbunge wa Kongwa ni mtoro bungeni.
Kwa jinsi CCM walivyokuwa mafundi wa maigizo, wanaweza kuandaa tukio la kumpokea Bungeni kwa shangwe na vigelele lengo likiwa ni kumtia nguvu, kumuondolea aibu na pia kujaribu kuhadaa umma kwa Ndugai hana kinyongo na kwamba CCM wote wako pamoja katika hili.
 
Ndugai hata akifukuzwa ubunge, ataendelea kula mshahara 80% wa Tulia na ma spika wengine kibao watakaofuata pamoja na marupurupu kibao.

Tuachane na wanasiasa, tufanye maisha ndugu zangu .!
 
Ndugai hata akifukuzwa ubunge, ataendelea kula mshahara 80% wa Tulia na ma spika wengine kibao watakaofuata pamoja na marupurupu kibao.

Tuachane na wanasiasa, tufanye maisha ndugu zangu .!
Kula huo mshahara na kukabiliana kisaikolojia na yalimtokea ni vitu viwili tofauti.

Jiulize ni kwanini aliomba msamaha japo hakuwa na kosa(alitoa maoni yake tu)?
 
Mgonjwa ghali yule.

Atakua anaandaa invoice tena za malipo kwenda India .
 
Ndugai hata akifukuzwa ubunge, ataendelea kula mshahara 80% wa Tulia na ma spika wengine kibao watakaofuata pamoja na marupurupu kibao.

Tuachane na wanasiasa, tufanye maisha ndugu zangu .!
Kweli kabisa kodi zetu zitaendelea kumlisha
😂😂

Ova
 
Hivi tangu Bunge limeanza hiyo jana kama sikosie, Ndugai ameonekana Bungeni kushiriki vikao vya Bunge...
Nasema hivi kile kijamaa sijui kama kitahudhuria bungeni!!hata kama ni mimi bora na ubunge wao , wauchukue tu, kwani tayari ni spika mstaafu, ana shida gani?
 
Kwa kuwatendea haki wana Kongwa, Ndugai angejiuzulu tu na uchaguzi mdogo ufanyike aje mwananchi mwingine atakaye watumikia wana Kongwa.

Kwa NDUGAI hata angekuwa mnafiki namna gani hawezi kuvumilia psychological humiliation ya kukaa viti vya wabunge na kuuliza maswali kwa mawaziri.

Ni bora hata angeomba kwa Rais Samia akawa Balozi kwa nchi zisizo na shughuli nyingi apumzikie huko.
 
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai?
Taharuki ya nini? Aweza kuwa na sababu binafsi tu kama Wabunge wengine ambao pia hawakuwepo. Taharuki ingekuwepo kama angekuwa bado ni Spika na haonikani Bungeni bila taarifa kwa Umma.
 
Back
Top Bottom