mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Duh! Hapo sasa ndo kasheshe!!!Na inawatesa sana wao majigambo yote na dhihaka kwa wapizani bungeni na kujiona ni mkubwa sana kumbe ukija kwenye katiba spika ni sawa na sisimizi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hapo sasa ndo kasheshe!!!Na inawatesa sana wao majigambo yote na dhihaka kwa wapizani bungeni na kujiona ni mkubwa sana kumbe ukija kwenye katiba spika ni sawa na sisimizi tu.
Uamuzi ni wa kwake, akiamua kukaa kimya na kutojipa stress za siasa, ataishi maisha marefuKula huo mshahara na kukabiliana kisaikolojia na yalimtokea ni vitu viwili tofauti.
Jiulize ni kwanini aliomba msamaha japo hakuwa na kosa(alitoa maoni yake tu)?
NdiyoNdo unavyowadanganya ivo apo kijijini kwenu?
Huu ni msimu wa palizi, bahati iliyo njema mvua zinanyesha, acha mikorosho mayo enjoy 🤔.Hivi tangu Bunge limeanza hiyo jana kama sikosie, Ndugai ameonekana Bungeni kushiriki vikao vya Bunge?..
Yupo anajisikia vibaya anasumbuliwa na homa homa na tumafua twa hapa na paleKatika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...
Ukiwa kwenye hiyo inayoitwa system, huwezi kuelewa machungu walionayo wananchi. Ukipigwa chini au kustaafu ndiyo akili zinakurudia.Sumaye, Lowasa, Ndugai, Mkapa wote walihitaji katiba mpya kuliko kitu chochote
Peace of mind huwa hainunuliwi kwa pesa yeyote ile !!Kuna wakati unaweza kuwa na pesa na kila kitu ila huna raha tu
Kapeperushwa na kimbunga jobo🤔.Sisi wananchi wa kongwa tunazo changamoto za kutosha, hivyo shida zetu tunazifikisha kwa Mbunge wetu.
Toka Mbunge wetu ajiuzuru haonekani jimboni wala Bungeni. Tunaomba tujuzwe alipo mbunge wetu kipenzi Cha watanzania, Mr.Job Ndugai
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa san[emoji23]Kapeperushwa na kimbunga jobo[emoji848].
Kwanini utende makosa halafu utubu, kwanini usieepuke kutenda makosa ya makusudi🤔.Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa san[emoji23]
Yupo galilaya uyo kwenye mambo yake matembeziKatika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...
Ameenda kufanya Toba galilaya🤔Yupo galilaya uyo kwenye mambo yake matembezi
Usiilinganishe kenya yetu na vitu vya ajabu ajabu aisee.Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.
Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
Ameenda kutafuta Toba galilaya🤔Yupo galilaya uyo kwenye mambo yake matembezi
Chema ni kama chimba🦁Ndugai kama Yanga tu😄
Sasa si ajivue ubunge ili kuepuka adha ya kukaa beki bencha? After all ana package nzuri ya spika mstaafu.Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo