Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Na inawatesa sana wao majigambo yote na dhihaka kwa wapizani bungeni na kujiona ni mkubwa sana kumbe ukija kwenye katiba spika ni sawa na sisimizi tu.
Duh! Hapo sasa ndo kasheshe!!!
 
Kula huo mshahara na kukabiliana kisaikolojia na yalimtokea ni vitu viwili tofauti.

Jiulize ni kwanini aliomba msamaha japo hakuwa na kosa(alitoa maoni yake tu)?
Uamuzi ni wa kwake, akiamua kukaa kimya na kutojipa stress za siasa, ataishi maisha marefu
 
Hivi tangu Bunge limeanza hiyo jana kama sikosie, Ndugai ameonekana Bungeni kushiriki vikao vya Bunge?..
Huu ni msimu wa palizi, bahati iliyo njema mvua zinanyesha, acha mikorosho mayo enjoy 🤔.
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...
Yupo anajisikia vibaya anasumbuliwa na homa homa na tumafua twa hapa na pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walisema alipiga picha huko ubelijiji akiwa na yule aliyemfutia posho zake, ila anateseka.
 
Sumaye, Lowasa, Ndugai, Mkapa wote walihitaji katiba mpya kuliko kitu chochote
Ukiwa kwenye hiyo inayoitwa system, huwezi kuelewa machungu walionayo wananchi. Ukipigwa chini au kustaafu ndiyo akili zinakurudia.

Tanganyika kitu kinachoitwa Rais ni mungumutu, hutakiwi kuwaza hadharani tofauti naye .
 
Sisi wananchi wa kongwa tunazo changamoto za kutosha, hivyo shida zetu tunazifikisha kwa Mbunge wetu.

Toka Mbunge wetu ajiuzuru haonekani jimboni wala Bungeni. Tunaomba tujuzwe alipo mbunge wetu kipenzi Cha watanzania, Mr.Job Ndugai
 
Kapeperushwa na kimbunga jobo🤔.
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...
Yupo galilaya uyo kwenye mambo yake matembezi
 
Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.

Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.

Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
Usiilinganishe kenya yetu na vitu vya ajabu ajabu aisee.
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Sasa si ajivue ubunge ili kuepuka adha ya kukaa beki bencha? After all ana package nzuri ya spika mstaafu.
 
Back
Top Bottom