Yusuf Manji arejea Tanzania

Mrudisheni kama hamtaki
 
Karibu mwamba, tuwashughulikie @simbasports kikamilifu..
 
Naona bado mzimu wa mwendazake haujakuachia
Acha wivu na visasi tafuta pesa kijana
Huku Duniani kila mtu anatafuta breakthrough ukiona yako haijafunguka
Endelea kumuomba Mungu.
Umasikini ni dhambi.
 
Wao sio wajinga ni wazoefu kwenye mambo hayo ndiomana wanaiba kwa kutumia mbinu ili sheria zisije kuwatia hatiani.Ndiomana hata ukiibia kampuni,ikishindwa kukutia hatiani itafukuza.Kushindwa kutiwa hatiani kisheria haina maana hukuhusika kwenye wizi.
Sawa niwawekezaji lkn wametajilikia kupitia ujanja huo,kwakuwa tumeshindwa kuwatia hatiani basi nasi tutafute mbinu za kufanya nao biashara ili wasiendelee kututia hasara.
 
Aliachiwa aje na hivyo vyombo vya dola uchwara?
 
Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
Wewe utoto unakusumbua. Kwani hizi Nyumba za msajili si wao walijenga Nyerere akawanyang'anya
Sasa mnawapangishia.
Alafu mnaita National Housing.
 
Siongei na kula kulala mimi
 
Naona bado mzimu wa mwendazake haujakuachia
Acha wivu na visasi tafuta pesa kijana
Huku Duniani kila mtu anatafuta breakthrough ukiona yako haijafunguka
Endelea kumuomba Mungu.
Umasikini ni dhambi.
Utajiri wa dhulma pia ni dhambi.Wacha kutetea wezi.Africa tunashindwa kuutetea ukweli ndiomana Bara hili ni maskini na litaendelea kutajirisha mataifa mengine.Kwa sababu tu unafaidika na mfumo unakunufaisha wewe hata kama unaleta madhara kwenye Taifa utautetea,hii sio sawa.
Fikiria kwa mfano Tanzanite inayochimbwa na watanzania, lkn anayekuja kuingia kwenye list ya matajiri duniani ni muhindi tena kupitia tanzanite😄,tuamke waafrica
 
unachoyo, maono mafupi na akili mbovu
 
BAVICHA hawawezi kukueiewa
 
Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
Wewe uliza vizuri manji amejenga nyumba nyingi sana hata anayokaa upanga ni yake ya kujenga mwenyese
 
Tumuombee aendelee kununua ufuta na mbaazi kwa bei ileile
 
Kwahiyo hadi leo , uhamiaji hawafahamu kama Manji ni raia wa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe uliza vizuri manji amejenga nyumba nyingi sana hata anayokaa upanga ni yake ya kujenga mwenyese

Huyu atakua tofauti na wenzie, mhindi kumkuta na nyumba au gari ya kutembelea nadra sana labda wachache tena za bei chee.

Washihiri/mahara na wahindi hawapishani sana
 
Wimbo wenu wa kodi umechujuka. Wawekezaji wanaleta AJIRA na hao waajiriwa watalipa kodi. Ndivyo ilivyo ktk mfumo wa kibepari duniani. Vinginevyo mtabaki na umachinga na walaghai wengine.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…