TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Pole kwa familia, pumzika kwa amani.... Yule dereva alishatoka yuko kijijini yuko porini analima nyanya kwa heka heka alizopitia gerezani na minyoosho kaamua atulie..... Risasi ya mguuni kwenye ile kesi ilimfanya awe kilema na alipoteza kila kitu miaka 12 gerezani mke, watoto mali!. Apate msaada hata kidogo. Najua jf wanapita wengi wanaojua hii code wataelewa.. Ile gereji ni muda muafaka wa kufungwa na ulioko kule dodoma michezo ile iache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…