Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

Unataka wahalifu wasidakwe!!?
 
Hayati Magufuli na Sukuma gang yako acha kunyanyasa Wafanya biashara na wawekezaji
 
Ukiona ivyo ujue jalada lake bado lipo mezan mwaa boss mpya wa TAKU so lzm ayamalize viporo
 
Masikini! Alafu umeandika kwa kujiamini!

Yani hii jf imebeba kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sahihi mkuu hata kesi za uhujumu uchumi zimepungua sn, ilikuwa awamu ya kipumbavu sn
 

 
Unawasemea wawekezaji ?!!!

Umeyafumba macho kuwaona kuwaona akina Dangote ,Mwanamfalme wa Dubai ,Mwanamfalme wa Saudia na wengineo wakitiririka kama mvua katika nchi hii ya amani ?!!

#KaziIendelee
Wakati wanakuja hakukuwa na huo unyanyasaji wako ambao umeuanza tena na hakika endapo watajua umeanza manyanyaso yao hawatakuwa tayari kutekeleza ahadi zao sawasawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manji anapata watetezi toka chadema?


Aisee... Lakini haishangazi maana bavicha wanasubiri hela zirudi mtaani ili muwe mnaziokota na wakuzirudisha mnaamini ni hao kina Manji
 
Manji hana kinga ya kutokushtakiwa, au kukwepa uwajibikaji kwa njia yoyote.
Anza na ununuzi wa Ndege ujenzi wa chato kienyeji pasipo idhini ya bunge washitakiwe wote walioshiriki kwanza kabla ya kuangalia chochote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manji anapata watetezi toka chadema?


Aisee... Lakini haishangazi maana bavicha wanasubiri hela zirudi mtaani ili muwe mnaziokota na wakuzirudisha mnaamini ni hao kina Manji
Zipo wapi zile trilion 1.5 ?
 
Wambie waanze kuwahoji wote walioshiriki kwenye ununuzi wa Ndege kufunga maduka ya kubadili fedha za kigeni na zipo wapi fedha zao?
 
Dah! Umenisaidia sana kujua kumbe taarifa za uchunguzi kama kuna Rushwa imefanyika anayezifanya ni CAG halafu akijiridhisha anawapa TAKUKURU.
Ndio uzuri wa wajuzi kuwemo humu hata sisi tunaokota nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…