Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu

Lipa kodi acha porojo
 
Nahisi amenukuliwa vibaya, au clouds hawajamuelewa vizuri hapo kwenye idadi ya walipa kodi
Sababu wafanyakazi tu wa serikali wapo almost laki 6, Sasa kweli waajiriwa wa taasisi au makampuni binafsi Tanzania hii wapo milion 1.4? Na bado kuna wafanyabiashara hujajumuisha
Hiyo walipa kodi direct kuwa miliion 2 ni kitu hakiwezekani, ni namba ndogo sana ambayo waajiriwa tu wameipita.
 
Hao wengi ni wangapi? Wako wapi? Maana unasema tu wengi bila kusema ni ngapi na wako wapi
 
Wataasisi nyingine hawafikio hiyo milioni Moja...Msiwe wabishi bila sababu
 
Nadhani takwimu halisi walizowahi zitoa kabla ni M3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…