Pre GE2025 Za ndani kabisa 2025, Fomu ya urais ndani ya CCM ni zaidi ya moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ya pili itachapishiwa wapi?
 
Hilo ni kosa la kiufundi la kuanza kampeni kabla ya muda, pia chanzo cha fedha hizo ni nini. Lazima tukiheshimishe CCM kwa kuwa na Viongozi wasafi na kwa kuwa wanawake wameshapata nafasi, 2025 CCM itakuwa na Mgombea Urais Mwanaume ambaye si mbathirifu na mwenye hofu ya Mungu.
 
Hilo ni kosa la kiufundi la kuanza kampeni kabla ya muda, pia chanzo cha fedha hizo ni nini. Lazima tukiheshimishe CCM kwa kuwa na Viongozi wasafi na kwa kuwa wanawake wameshapata nafasi, 2025 CCM itakuwa na Mgombea Urais Mwanaume ambaye si mbathirifu na mwenye hofu ya Mungu.
 
Ok usiweke ktk mfumo wa Haram wa betting.


Mimi nitakukumbusha muda ukifika Ili ukaipeleke sadaka hiyo ya 5 ml Kwa watoto yatima au wagonjwa wasio na uwezo wa kupata matibabu.
 
huyu bibi anavyotapanya hela na kuidekeza zanzibar siku akiondoka nitakunywa soda kabisa. natamani ccm wamwondoshe kwenye kinyang'anyiro mwakani asiwepo kabisa, awe mpenzi mtazamaji tu.
 
Kikulacho ki nguoni kwako. Ukisikia fitina, basi huku Tanganyika ndiyo chuo cha fitina. Watu wanacheka na mtu mchana lkn usiku wanamuua.
 
Hiyo ndo kanuni, ikiwa Kuna wagombea wengine, mwenyekiti aliepota ndie hua mwenyekiti na kuongoza mchakato huo. Imewekwa hivyo Ili kutenda haki katika ushindani na ndio sababu ukaona CCM waliamua Raia ambae ndo mwenyekit wa Cha akae bila kugombea na wenzie kwa awamu mbili. Kwa muktadha huu, ikiwa fomu itachaowa zaidi ya Moja basi JK ndo atakuwa mwenyekiti wa muda...
 
Hakuna jambo kama hilo hii sio tetesi umejitungia baada ya kupata picha za hizo pikipiki!
kipara kipya, Samia Suluhu Hassan au Mzanzibari mwingine yeyote hawezi tena kuwa Rais huku Tanganyika.....!!!!

Mwaka 2021 ilikubaliwa kwa shingo upande hivyohivyo awe "Rais wa mpito" baada ya kifo cha Mwendazake Magufuli ingalau kuiheshimu katiba ktk eneo hilo...

Otherwise hatuna Rais mpaka hapa tulipo. She's there just as a "Ceremonial Figure" kwa jina la "Rais"

Kosa lilifanyika. Sasa hatuwezi kuendelea kuwa wajinga tu kwa kuliendeleza...

Na CCM mkifanya kosa tu kulazimisha utumbo huu kuendelea, basi jiandaeni kumnadi huku mkitembelea matumbo kama nyoka na pia jiandaeni kuteka, kutesa na kuua wakosoaji wenu wengi zaidi ya mnavyofanya sasa...!!
 
Fomu ni moja tu. No more dramas.
 
Awamu ya saba tena?
 
CCM itadhihirisha rasmi mwakani kwamba imejaa mazombi watupu ikimuachia SAMIA agombee urais,ilhali wanajua hana uwezo kiuongozi.
 
Heshima, mkuu 'Ngaiwaye'.
Haya uliyo weka hapa kinadharia ndiyo sahihi; kivitendo ni tofauti kabisa.
Kwanza kumbuka, ni Kikwete huyo huyo aliye waondoa wazee wasiwe na mchango wowote tena katika maswala kama haya. Alifanya hivyo kwa maksudi kabisa, kuepukana na maamuzi ya wazee hao.
Sasa wewe leo hii, unamtaka Mwenyekiti, tena mwenye maslahi amkubalie tena mzee ambaye atahatarisha nafasi yake? Inaingia akilini hii?
Hivi unaelewa vizuri madaraka makubwa na ushawishi (wa nguvu/lazima/mabavu) alio nao mwenyekiti na Rais wa nchi hii? CCM na wazee wachovu watatoa wapi nguvu za kumkabili mtu wa aina hiyo, tena huku 'chawa' wakiwa wanamdondoka kila sehemu za mwili wake?
Unakumbuka alicho sema Mwenyekiti na Rais wa nchi hii wakati CHADEMA wanapanga maandamano ya "Utekaji" na kuimba wimbo ambao hawakuwa na uhakika nao wa "Samia Must Go"?
Mwenyekiti alicheka, na kuwaambia "Hawezi Kutoka Kizembe zembe namna hiyo"! Na unakumbuka maandamano ya CHADEMA yalivyo kuwa ya kufana sana!

Haya unayo yaeleza wewe hapa, ni sawa na kumwambia Mwenyekiti aachie ngazi Kizembe. Hilo sahau.
Ni wananchi pekee kwa umoja wao, ndio asioweza kuwazuia kumwondoa hapo alipo; atake au asitake.
 
Kikulacho ki nguoni kwako. Ukisikia fitina, basi huku Tanganyika ndiyo chuo cha fitina. Watu wanacheka na mtu mchana lkn usiku wanamuua.
Una maana ya "chawa" ambao ndio wanao mzonga sasa hivi.
Sasa nisome vizuri hapa. Dawa ya chawa walio kengeuka na kuacha kutumika kwa kazi inayo walisha uchafu; mwenye nguo zake ataamua tu kuzipika/chemsha hizo nguo na kuwamaliza chawa wote wabovu na kupanda wengine wapya.
CCM haina upungufu wa chawa wanao hitaji kutumika, huku wakinyonya uchafu.
Hili ndilo linalo wakusanya wote kwa mtu huyo huyo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…