Pre GE2025 Za ndani kabisa 2025, Fomu ya urais ndani ya CCM ni zaidi ya moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™
 
Nilishasema na nitaendelea kusema, ukomo wa utawala wa Chura ni 2025 kama atakuwa hai.
Ccm ni one of the best political strategists kwa siasa aina setu duniani

Na haijawahi kuacha kushangaza watu type yako

We tuendelee tu kutoa mapovu na kuporojoka mitandaoni but wenye nchi yao wataamua with or without your comment

Na hakuna rais mwingine aliyeandaliwa 2025

Yupo mmoja tu na a nachapa kazi yake sasa
 
Faraja jipe mwenyewe. Jifariji Mkuu.
 
Watanyamazishwa tuli kama maji mtungini !
URais ni Taasisi !
Mwenyekiti ndio kila kitu Chamani. !
Mwenye kuwashwawashwa shauri yake ataambulia patupu !
Mama kanyaga twende !
Usiwaangalie Usoni !
 
Hatumtaki mama
Hatuitaki CCM

Dawa ni kuiweka CCM pembeni 2025
 
Wale wenye Elements za Ufisadi Ufisadi huwa wanazipenda sana Comments za aina hii πŸ˜…πŸ˜‚πŸ™πŸ‘
 
Walio wengi hawamchukii mama wanakichukia chama kilichoondoka kwenye misingi yake nakujivika mavazi ya kondoo.Chama kimeruhusu tabaka la watu matajiri kwa kutumia kodi za wananchi.
 
Au sio?🀣🀣🀣

Umeandika kwa hisa kubwa sana kutaka kujiaminisha kuwa you are somebody huko CCM.
Basi sawa.
 
Ni kosa kubwa sana kalifanya kugawa pikipiki kabla ya muda wa kampeni zenye mlengo wa kampeni bora zingebaki na logo ya chama tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…