Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Mtu ana nyumba za kutosha halafu unauliza anaishi wapi? Nenda E fm mtafute kitale akupeleke kwenye mijengo ya domo.
 
Mtu ana nyumba za kutosha halafu unauliza anaishi wapi? Nenda E fm mtafute kitale akupeleke kwenye mijengo ya domo.

Kuna tofauti ya nyumba na PAGALE.

Au unamaanisha MAPAGALE ya Mwananyamala aliyokuwa anavua watu? Nachojua Dayamondi ana nyumba moja(MADALE) na mapagale kadhaa!!
 
Kuna tofauti ya nyumba na PAGALE.

Au unamaanisha MAPAGALE ya Mwananyamala aliyokuwa anavua watu? Nachojua Dayamondi ana nyumba moja(MADALE) na mapagale kadhaa!!

Hata hilo pagale unalo kibwengo wewe
 
Bro tusichukuliane Poa maisha unayoishi wewe sio kama mim ndo nayoishi Broo Nilichokisomea akijafikia stage ya kuanza kutumwa mihogo
Kama wewe umezoea kutumwa mihogo ni wewe pumbavu Kabisa
Usikute hata baba yako nimemwajiri
Kwani mi nimekuchukulia poa dogo mbona wajishuku.
Aya ndgu Mayunga fanya uwahi lecture room.
 
Hata hilo pagale unalo kibwengo wewe

Wewe endelea kununuliwa TECNO na kuwekewa bando na Dayamondi uje kumsifiasifia humu , tushavuka level za kuona nyumba au gari ni deal....Hivyo vitu ni vya kawaida wala sio sifa ni basic needs....Siwezi kukuuliza wewe una nyumba au gari maana najua unapaswa kuwa navyo nitashangaa kama hauna ,ila kwa age yako inaonekana bado harufu ya maziwa ya mama hayajaisha vizuri mwilini.
 

Bro mie sio level hiyo uwe na adabu blalfaken
 
Kuna tofauti ya nyumba na PAGALE.

Au unamaanisha MAPAGALE ya Mwananyamala aliyokuwa anavua watu? Nachojua Dayamondi ana nyumba moja(MADALE) na mapagale kadhaa!!
Basi kuna vingi huvijui kuhusu huyu mwamba. Ujue vyote kwani wewe ni mtu wake wa karibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo comments sasaa.
 
Una Wivu wa kijinga sana
Tafuta hela acha makasiriko Bwege wewe usiyekuwa na akili
Usituletee hasira zako za Maisha broo
Yaani kuambiwa ukweli ndiyo mimi nina wivu? Basi tufanye nina wivu, Diamond atanunua hiyo ndege for himself, wewe utafaidika na nini kwa hiyo ndege....umejiuliza hili?
 
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]

Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa


Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Unga unalipa sana
 
Mi nachojua mange anaenda vuna pesa nyingi tu za wabongo maana kwenye maisha yetu umbea kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…