miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.Mange kumpotezea Dai hawezi na hatoweza.
Endelea kumuonakapoteaje na kila siku tunamuona mkuu?
How do you measure........Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni jambo jemaWeek ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Goodnight.How do you measure........
Labda shows, streams.......nk. tunaweza tukaanzia hapo.
Okay asante nawe pia.
eeh mtu aliyepotea anaanzaje kuonekana kila siku.
huyu huyu anayekimbiza wenzake kwenye music platforms na shows?Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
OopsIle kampuni yake ya betting ameshafungua!?
Tatizo umaskini na ushamba wetu ndo unatupa upofu kuona uhalisia tukijibebesha dhana ya kuita wivu ktk ukweli.eeh mtu aliyepotea anaanzaje kuonekana kila siku.
Pumzika.huyu huyu anayekimbiza wenzake kwenye music platforms na shows?
Hawawezi kuelewa mkuu. Just because amechagua lifestyle hiyo basi bado kwa upofu wao wanaona bado yuko kwenye peak. Kila lenye mwanzo halikosi mwisho. Ni kama ali kiba tu. Zama zilishapita. Sasa hv anatoa nyimbo za kujifurahisha tu. Na haya mambo ya uteam ndo ujinga wenyewe unaua talents tu. Dai is decelerating. Ni vipofu tu hawaoni. Halaf ni kitu cha kawaida sana mbonaSure ,huwa tunaita wakati,kwasisi tuliobobea kwenye statistics na graphs ,ukidraws graph ya Dayamondi kwasasa ana decelerate,alishafika peak kwasasa anashuka kimuziki sema ndiyo hivyo kwa bongo hatuna vitu kama RIAA ambavyo vinatoa statistics za msanii.
Wewe ni nani hapo Usafini ?Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Wanaosema diamond anashuka wapo kwenye huu uzi unaomuhusu yeye wanamuongelea