Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
jamaa alishaweka uzi huku wa kukataa kuzaa kutokana na Maradhi aliyoyapata na umaskini alio nao.Pole Sana Mkuu.
Ila angalau watoto wawili. Sio mbaya.
Kama unakipato cha Kati basi watoto wanne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa alishaweka uzi huku wa kukataa kuzaa kutokana na Maradhi aliyoyapata na umaskini alio nao.Pole Sana Mkuu.
Ila angalau watoto wawili. Sio mbaya.
Kama unakipato cha Kati basi watoto wanne.
dah Mkuu ni Hatari... kuzaa watoto wengi haifai kwa kweli hamna mashambaMimi hawa wawili wanatosha ,Kuna jamaa mmoja hivi anao wanne, hana shamba , kapanga nyumba, mke wake ni house wife, unene sio afya lakini jamaa hata kamwili kuja hakuna na yuko kazini tena serikalini zaidi ya miaka kumi , ameajiriwa ndio lakini ajira mbuzi ndio maana ana mahasira muda wote na anahangaika na maushirikina ili apate ubosi wakati Hana connection
soma uzi wakeKwamba wewe ni mgonjwa na unaogopa utamuambukiza?
🤣🤣🤣Yaan mtu anazaliwa ili aje awe mchepuko kweli?
Awe chawa? Awe msifia watu wengine kama yeye?
Hapana aisee
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Haya maisha usithubutu kujiattach na watoto au wanawake utakosa furaha ndo maana wazee wazamani walikua wana watoto 40 wake 8 cha msingi jiattach kwenye pesa achana na love, love is scamm[emoji1787][emoji1787]
Watu wa hivi ni wabinafsi alafu hawana Upendo WA dhati.
Ni hatari kwenye jamii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan mtu anazaliwa ili aje awe mchepuko kweli?
Awe chawa? Awe msifia watu wengine kama yeye?
Hapana aisee
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
🤣😅😄😃😆😁Utaambiwa kila mtoto anakuja na sahani yake
Muheshimiwa alikuwa sahihi na huo ujinga wakufikiria ajira ndo unaleta uoga na upumbavu kwani kila mtu ataajirwa?Kuna mtawala mmoja aliwahi kutawala Tanzania huku sijui akiwa amesahau kauli ya Rais ina Power pia ni Sheria alitamka kwenye mkutano wa hadhara kwamba "watanzania zaeni sana" nikajiuliza kwani nchi ina uhaba wa watu? maana mimi ninavyojua Watu ni rasilimali ya nchi pia katika kukuza Maendeleo.
Tanzania ina watu wa kutosha na wengi hawana ajira ni majobless. hujawapa kazi hawa bado unataka watu wazae he was not serously!
Rafiki yangu mmoja ana watoto saba mama tofauti anaishi nyumba ya kupanga he have not stability of finacial. aysee hapana watoto tunawapenda lakini tuangaliale na utaraibu wa kuzaa jamani nadhani hata na uelewa wengi hawana.
hakuna mashamba kama zamani ya kulima nowadays ushindani wa ajira ni mkali sana. ukuwaji wa technology kila kukicha unakuwa na wengi wanapoteza ajira due to ukuwaji wa tehema.
Mkuu, mimi nipo morogoro nina mashamba matatu ya mpunga hekari 3 each.Kuna watu hawajali,
Wanaona kabisa Hali ngumu, wanaona kabisa hawana vitu vya kuwarithisha watoto wao, hasa Ardhi na mashamba ya uzalishaji,
Wanajiona kabisa wao ni misukule au Watumwa wanalipwa mishahara ya punda, lakini bado mtu anazaa watoto wengi ili wapatikane vibarua wengi zaidi wakutumikishwa.
Hiyo ni laana.
Kuzaa watoto wengi ni Enzi zile Ardhi ipo ya kutosha. Tena yenye rutuba. Unawakatia tuu vipande watoto wako.
Lakini siku hizi tabia ya nchi sio rafiki, hata ukimpa mtoto shamba bado anaweza kuhenyeshwa
Hakika tujifunze, happy birthday in advance my lovely daughter Tomorrow is your birthday
Sawa. Tumekusoma Taikuni wa Fasihi. Ushauri wako ni mzuri.
Kuna kauli kuwa "kila mtoto huja na bahati yake". Ila usipokuwa macho watoto wakiteseka sana mwisho utasikia kamchukuwa baba yake msukule ili apate Mali.