Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Copy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.
UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika
Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana