Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mfumo mbovu wa maleziMagu alikuwa na mawazo kama yako awainue makandarasi wazawa,kilichomkuta akawarudia wachina tu.
Mbongo sio mtu huwaza tumbo kwanza na sio nchi kwanza.
Banio TU la maji unadesign ndani ya masaa sita mbongo anatumia miezi sita kukamilisha mchoro.