Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

Shida ni sisi wazawa wenyewe hata tukipe hizo tenda ni majanga tupu zinaishia mifukoni mwetu huku wananchi wakiteseka
Kwa akili hizi tutaendelea kuwa maskin milele
Jambo ambalo hulijui hata hao wachina kuna miaka walikua maskini wakabadilika wakafika walipofika leo hawakua hivi
 
Magu alikuwa na mawazo kama yako awainue makandarasi wazawa,kilichomkuta akawarudia wachina tu.
Mbongo sio mtu huwaza tumbo kwanza na sio nchi kwanza.
Banio TU la maji unadesign ndani ya masaa sita mbongo anatumia miezi sita kukamilisha mchoro.
 
Kapambaneni kule NEST
Nchi kama china, na nyingi za western tender kupewa mgeni hilo sawa nyingi wanapewa wazawa

Huwezi endeleza nchi na wananchi wako kama kila tender unawapa wageni hakuna nchi yeyote dunian iliendelea kwa staili hiyo
 
Kwa akili hizi tutaendelea kuwa maskin milele
Jambo ambalo hulijui hata hao wachina kuna miaka walikua maskini wakabadilika wakafika walipofika leo hawakua hivi
Sijaelewa hoja yako sasa ni kwamba hatukupaswa kuwapatia zabuni wachina au
 
Natamani ungekua unaelewa how govt tender worjs kwa nchi za kiwaki kama zetu.

Iko hv, hadi hyo zabuni inatangazwa na kupewa mchina, lazma ma teni pasenti kibao yashawekwa humo kati.

Mchina anafuata mashine huko kwao at a throw away price analeta, hapati hasara yoyote.

MZawa sasa, utanunua mashine kwa bei kubwa, utazifanyiq logistics mpka zifike hapo ni gharama ya kutosha..

Hyo hela ikitoka, kuna cheni ya watu kama 8 hv wote wanataka mgao, hapo unapata faida gani??
Bei ya mashine aliyopewa tenda mchina ni maradufu ya Bei ya sokoni.
 
Ukute mlalamikaji hakuomba hata hiyo tender yenyewe.
 
Watanzania tunaweza kufanya vizuri sana..vyombo vya usimamizi ( TBS) vipo..tatizo tunakata tamaa mapema kama nchi.
 
Kwenye tendering bei lazima iwe juu sababu lazima uweke 18 vat, ulipie insurance, usafirishaji plus faida yako bei lazima iwe juu maradufu
Umeambiwa Bei ya sokoni hapa dar es salaam kwa kilo 25 hazizidi milioni 2.5 Tena kwa mtu ambaye amelipa ushuru na Kodi zote. Wao wameuza milioni 25 ten times weka vat na Kodi nyingine Kama ni sahihi.
 
Awamu nyingine na wewe omba bila kuchoka ipo siku utapata
Huwezi elewa hayo mambo ya kiuchumi kwanini nchi nyingine ziliendelea na nyingine ni maskini mpaka leo

China, japan, na korea kusini ni ngumu sana kwa kampuni ya foreigner kushinda tender na hata masoko yao yako dominated na domestic company
 
Leta sababu kwanini wasipewe wachina Mkuu

Umeshawahi kufanya biashara ya ubia?
 
Back
Top Bottom