Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
ni vizur kua waaminifu na wenye uwezo. Janja janja inapoteza kuaminika na kukwepwa kupatiwa zabuni 🐒Copy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.
UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika
Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana
Mimi nilishafanya kazi za tender kipindi kile wanatumia taneps mamba ya bid security, bank declaration, boq, nayajua sana,Natamani ungekua unaelewa how govt tender worjs kwa nchi za kiwaki kama zetu.
Iko hv, hadi hyo zabuni inatangazwa na kupewa mchina, lazma ma teni pasenti kibao yashawekwa humo kati.
Mchina anafuata mashine huko kwao at a throw away price analeta, hapati hasara yoyote.
MZawa sasa, utanunua mashine kwa bei kubwa, utazifanyiq logistics mpka zifike hapo ni gharama ya kutosha..
Hyo hela ikitoka, kuna cheni ya watu kama 8 hv wote wanataka mgao, hapo unapata faida gani??
Umeongea vema mwafrika anapigwa vita mpaka na nchi yakeMiaka kadhaa iliyopita kulikuwa na sheria ambayo haikuwa rasmi inayokataza mtanzania mzawa mweusi kumiliki benki . Kwa hio usishangae hili la tenda ya mashine za kufulia kupewa mchina.
Na ndio maana top ten ya matajiri Tanzania wote ni wahindi na warabu kwa sababu mtu mweusi anapigwa vita kimya kimya.
Kuna mzawa anatengeneza hizo mashine? Labda tender inataka kununua kwa mzalishaji na siyo mtu wa katiCopy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.
UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika
Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana
Hamnaga kitu kama hicho kwenye tender sio lazima awe mzalishajiKuna mzawa anatengeneza hizo mashine? Labda tender inataka kununua kwa mzalishaji na siyo mtu wa kati
Wachina wanatoa rushwa sana, ukiongeza na hilo la ubinafsi wetu na roho mbaya, inakuwa ni majanga tuCopy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.
UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika
Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana
Kwa akili hizi tutaendelea kuwa maskin mileleBinafsi naunga mkono suala hili kwa sababu hizi:
1. Ni jambo la kawaida kuona watanzania wakiwa ni wavivu na wagumu kufikiria! Zabuni inahitaji mtu ambaye ni muadilifu sana na wenye uwezo wa kutoa huduma kwa kiwango cha juu. Sio ajabu kuona wageni wakifanya vyema zaidi kuliko hata wazama.
2. Tuongeeni ukweli wabongo wengi tuna DNA za upigaji, sio ajabu kuona akitoa quotation ya 200 Million basi kuna 60 Million za kupiga yeye binafsi. Mwisho wakifanya upembuzi wanakutana na madudu! Na linapokuja suala la vifaa vya Kiafya au Hospitali inahitaji umakini Mkubwa sana. Mfano tu wa kawaida, Hisense 14Kg Top Load Auto Washing Machine ambayo inauza 770K, mgeni anaweza kuweka bei 850K ila mbongo atakwambia hiyo ni 1.2 Million sasa hapo unamuuliza Hisense 6Kg Front Load Automatic Mashine Machine ni 980K, kipi ni kipi?!
3. Sababu ya mwisho ni kuwa, tuache kumbeza huyu Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd kwa sababu huyu hutengeneza vifaa tiba na pia husafirisha yeye mwenyewe, Je tulitaka kumpa SHELYS PHARMACEUTICALS au PRINCE PHARMACEUTICAL, au SALIBABA PELLET ?! Acha apewe mchina tu.
Tender watu wanapewa kama ulikua hulijui kuna mbinu chafu sana kwenye tendering processTender hupewi, zinashindqnishwa