Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #21
Kwa akili hizi tutaendelea kuwa maskin mileleShida ni sisi wazawa wenyewe hata tukipe hizo tenda ni majanga tupu zinaishia mifukoni mwetu huku wananchi wakiteseka
kweli kabisaTender hupewi, zinashindqnishwa
Waliendelea baada ya kuua wezi.Kwa akili hizi tutaendelea kuwa maskin milele
Jambo ambalo hulijui hata hao wachina kuna miaka walikua maskini wakabadilika wakafika walipofika leo hawakua hivi
Nchi kama china, na nyingi za western tender kupewa mgeni hilo sawa nyingi wanapewa wazawaKapambaneni kule NEST
Sijaelewa hoja yako sasa ni kwamba hatukupaswa kuwapatia zabuni wachina auKwa akili hizi tutaendelea kuwa maskin milele
Jambo ambalo hulijui hata hao wachina kuna miaka walikua maskini wakabadilika wakafika walipofika leo hawakua hivi
Bei ya mashine aliyopewa tenda mchina ni maradufu ya Bei ya sokoni.Natamani ungekua unaelewa how govt tender worjs kwa nchi za kiwaki kama zetu.
Iko hv, hadi hyo zabuni inatangazwa na kupewa mchina, lazma ma teni pasenti kibao yashawekwa humo kati.
Mchina anafuata mashine huko kwao at a throw away price analeta, hapati hasara yoyote.
MZawa sasa, utanunua mashine kwa bei kubwa, utazifanyiq logistics mpka zifike hapo ni gharama ya kutosha..
Hyo hela ikitoka, kuna cheni ya watu kama 8 hv wote wanataka mgao, hapo unapata faida gani??
Haikupaswa kuwapa wachinaSijaelewa hoja yako sasa ni kwamba hatukupaswa kuwapatia zabuni wachina au
Ndio sikuomba ila sidhani kama hakuna mtanzania hakuomba kabisa hiyo tenderUkute mlalamikaji hakuomba hata hiyo tender yenyewe.
Kwenye tendering bei lazima iwe juu sababu lazima uweke 18 vat, ulipie insurance, usafirishaji plus faida yako bei lazima iwe juu maradufuBei ya mashine aliyopewa tenda mchina ni maradufu ya Bei ya sokoni.
Umeambiwa Bei ya sokoni hapa dar es salaam kwa kilo 25 hazizidi milioni 2.5 Tena kwa mtu ambaye amelipa ushuru na Kodi zote. Wao wameuza milioni 25 ten times weka vat na Kodi nyingine Kama ni sahihi.Kwenye tendering bei lazima iwe juu sababu lazima uweke 18 vat, ulipie insurance, usafirishaji plus faida yako bei lazima iwe juu maradufu
Leta sababu kwanini wasipewe wachina MkuuHaikupaswa kuwapa wachina
Awamu nyingine na wewe omba bila kuchoka ipo siku utapataNdio sikuomba ila sidhani kama hakuna mtanzania hakuomba kabisa hiyo tender
Huwezi elewa hayo mambo ya kiuchumi kwanini nchi nyingine ziliendelea na nyingine ni maskini mpaka leoAwamu nyingine na wewe omba bila kuchoka ipo siku utapata
Huwezi elewa hayo mambo ya kiuchumi kwanini nchi nyingine ziliendelea na nyingine ni maskini mpaka leoLeta sababu kwanini wasipewe wachina Mkuu
Umeshawahi kufanya biashara ya ubia?Huwezi elewa hayo mambo ya kiuchumi kwanini nchi nyingine ziliendelea na nyingine ni maskini mpaka leo
China, japan, na korea kusini ni ngumu sana kwa kampuni ya foreigner kushinda tender na hata masoko yao yako dominated na domestic company