Tender ina amuliwa na vitu viwili tu, commercial and Technical sasa kwa hii uliyoitaja hapa naweza kusema kikubwa hii ni commercial, ina maana mwenye bei rahisi na deliver time better ndio atashinda. Sasa ukisema apewe mzawa tu basi tunahitaji tuwe na criteria tatu. Commercial+technical+wazawa.
Kikubwa huwezi kushindana na wachina wao wanatoa vitu bei ya kutupwa wanalijuwa soko lao sisi ni hata tukishinda tutarudi huko huko kwa wa China kununua hapo ndipo tutapigwa kila siku kwenye tender.